Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
Ngoja nisubirie hapa vijana wanijuze.
Mtoto alipowafumania baba na mama, kumbe jirani nae anahusika, afanyaje?
Haya bwana long weekend ndio hii Mefika nyumbani toka Arusha leo, nikaja kupokelewa na mtoto wa jirani ananikimbilia huku analia baada ya kukaa nae ananieleza kuwa Mtoto: Bibi Penny, juzi nimeamka usiku nashindwa kulala, nikaenda chumbani kwa mama kumwamsha mama, nikamkuta amekaa juu ya baba...