Sitamsahau huyu dada

Sitamsahau huyu dada

Hata miye nimeshangaa. Mtu mzima unakuja jf kutangaza kuwa we ni team kiba100!! Dah! Fikiri, gharama zoote hizo kabla hujaiona, wadhani huyo alipokuwa njiani alikuwa anasubiri nini tena alipokuona?? Nadhani hata njiani alikuwa ana loba step kila alipokuwaza kwani utelezi ulikuwa ukimsumbua. We unauita ati Aswan??
Wanawake mkipenda msiongeze kumtamani kama humjui. Wapo wasiojua kukuandaa wanarukia tu ka kipemba. Pole sana ila inaonesha dada wa watu alizidisha tamaa kwako

normal reaction kutaka akili ifikirie haikua tatizo lake kuwa ana maumbile madogo bali kosa ni la mwenzake kuwa ana maumbile makubwa…..hii topic nilisema nitaiacha...lol
 
Pole sana...

Inawezakana yeye siyo bwawa kama unavyosema, ila tu wewe una nanilii ndogo...


Cc: mahondaw
 
Unahangaika bure tu nakati Mawatu yenyewe yanajikuza ukubwa kupitia matoy ambayo size ya kiwango cha chini kabisa ni nchi 9, na yanaweza kurefusha size hadi nchi 16.

Tuliza kichwa chini, tafuta wanawake wa uswahilini/wa asili wasioweweseka na utandawazi(kuku wa kienyeji), tuongoza, jilie ladha tamu ambayo Mungu aliiumba mwenyewe wala si haya magubegube ya kidunia/kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

si kweli matoy yanaanzia inch 9-16

halafu hio biashara ya matoy haijashamiri huku kwetu...

unategemea dada wa Mwanza awe na litoy??kalitoa wapi???

kama ni masturbation karibu kila mtu anafanya,uswahilini au uzunguni...tena wengine nasikia wanatumia Tango...lol

wewe mshauri kaka yako atafute wa size yake..
 
Okay I am leaving it,but unachofanya sio fair,ukute ndugu zako wa kike wanasitiriwa tu..labda they are worse,always think before you write/speak...fikiria watu watalipokeaje/jiskiaje..hauko kwenye isolated environment..we are interconnected..us/others/you/your family...etc
Thanks.... Ila sidhani kama nimekosea maana hapa hizi mada zinajadiliwa sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, sio kwamba we unakibamia?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4]
Screenshot_20190106-214308_1.jpeg
 
Maybe umeelezea hiyo story ili kuonesha udhaifu wa huyo dada ila badala yake umeonesha udhaifu na kasoro zako wewe mwenyewe [emoji23]
 
Back
Top Bottom