Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hata miye nimeshangaa. Mtu mzima unakuja jf kutangaza kuwa we ni team kiba100!! Dah! Fikiri, gharama zoote hizo kabla hujaiona, wadhani huyo alipokuwa njiani alikuwa anasubiri nini tena alipokuona?? Nadhani hata njiani alikuwa ana loba step kila alipokuwaza kwani utelezi ulikuwa ukimsumbua. We unauita ati Aswan??
Wanawake mkipenda msiongeze kumtamani kama humjui. Wapo wasiojua kukuandaa wanarukia tu ka kipemba. Pole sana ila inaonesha dada wa watu alizidisha tamaa kwako
normal reaction kutaka akili ifikirie haikua tatizo lake kuwa ana maumbile madogo bali kosa ni la mwenzake kuwa ana maumbile makubwa…..hii topic nilisema nitaiacha...lol