😂😂embe boribo,madafh,pepeta,mchunga huu ni uzaramo og,hapo umesahau embe ngwangwa na embe sindano bila kusahau mabungoSasa si ndio niliamini hivyo ndo vitu wanavimiss sana..kapu lilikua na
Dagaa, embe boribo. madafu. Pamoja na vitumbua, matembele na Mchunga ..bila kusahau pepeta
Hii chai haijakolea sukari😂😂😂Unaenda masaki na dagaaa[emoji1787][emoji1787]
Na togwa la chupa ..limefunikwa na mfuniko wa ratasi,,,[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]embe boribo,madafh,pepeta,mchunga huu ni uzaramo og,hapo umesahau embe ngwangwa na embe sindano bila kusahau mabungo
Ni vitu adimu kule kijini kwetu uzaramoni..sh mia ya pipi tunaongezea kununua bwimbwi..Mkuu ukatulizwa na pipi
Mkuu kama una ndugu masaki ..kawatembelee ..tafadhali.Huwa nashangaa hawa matapeli wa wa ile michezo ya kula na kuliwa hadi leo eti wana watu wanawatapeli mijini...Kumbe ndo sample ya watu wanaoweza kuamini stori kama hii
Ni kweli. ila kule usingeuona, na pia nahitaji kujuzwa nikiwa naenda kutembelea ndugu masaki ..Kuna Uzi wake humu!! Umetujazia forum,Ungeenda kuhadithia huko...
Hapo kwenye pepeta umenikumbusha mbali sna mkuuSasa si ndio niliamini hivyo ndo vitu wanavimiss sana..kapu lilikua na
Dagaa, embe boribo. madafu. Pamoja na vitumbua, matembele na Mchunga ..bila kusahau pepeta
Yaani mtoto akupige na chupa tena ya taya alafu uanguke upoteze fahamu???
Ngoja nikaanue nguo kwanza nipige pasi !!!!
🤣🤣🤣Tukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki.
Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio na kunipora kapu langu nililobeba dagaa na vipande vya nguru kama zawad kwao.
Baada ya kufungua tu akaamuliza mama yake eti hivi ni vinini?? Mbona vinanuka sana alipijibiwa kuwa ni nguru na papa ...basi aka libutua kapu langu ..puuh .duh
Mama yake akamkemea na kumwa mbia kwa kidhungu noo briyaan this is bad..
Omba msamaha kwa uncle ..duh bas kakaja kuniomba msamaha ..na mm nikajifanya namkumbutia kimahaba ..he kumbe alikua na chupa ya pepsi alikua anakunywa .ile namuinamia tu akanibutua nayo ya mdomo kwenye taya paah ..hamad..nilianguka na kupoteza faham ..sikujua nilizimia kwa dakika ngapi ila
Ile nazinduka tu, nikakaona kako pembeni yangu ...kana angalia katun..bas si nikeenda kuchukua rimot ili nibadilishe chanel haa ile nainama tu kushika rimot nikasikia kitu paah mgongon ..kumbe ni mkia wa taa sijui kaupata wapi .akanirapua nao paaa... ooh nilipiga ukekele ...huo!! .had mama yake akaja ..akanikuta nagara gara chini..huku nikilia kwa uchungu. Mama yake akamwita mwane kwa hasira brayan "umefanya nn sasa ..." Huyu ni anko wako ..haya nenda kachukue pip ule na moja umpe anko...wako..
Masiki kale katot kakaenda kuleta pipi ndo nipo naramba ramba hapa na kumumunya ila ..sitamsamehe hata akikua. Ushauri tuwafunze watoto wetu heshima ..jamani dah
[emoji23][emoji23] umenifanya nicheke jamaa..dah wakat taya inauma...Wacha niruke hii kamba.View attachment 2286269
Dah nilitaka nijipoze na hutuba za mheshimiwa ..Hapo hapo kaamka kaenda kuchukua rimoti[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa hali hiyo utaacha kuongezewa kibano?[emoji38]