Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku nikija tena nitakupitia twende wote mkuuUmekaa ukafikiria ukaona hiki ndiyo cha kuandika kwa maendeleo ya taifa,mbuzi!
hahaha chai ya rang alfu umezidisha sukariTukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki.
Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio na kunipora kapu langu nililobeba dagaa na vipande vya nguru kama zawad kwao.
Baada ya kufungua tu akaamuliza mama yake eti hivi ni vinini?? Mbona vinanuka sana alipijibiwa kuwa ni nguru na papa ...basi aka libutua kapu langu ..puuh .duh
Mama yake akamkemea na kumwa mbia kwa kidhungu noo briyaan this is bad..
Omba msamaha kwa uncle ..duh bas kakaja kuniomba msamaha ..na mm nikajifanya namkumbutia kimahaba ..he kumbe alikua na chupa ya pepsi alikua anakunywa .ile namuinamia tu akanibutua nayo ya mdomo kwenye taya paah ..hamad..nilianguka na kupoteza faham ..sikujua nilizimia kwa dakika ngapi ila
Ile nazinduka tu, nikakaona kako pembeni yangu ...kana angalia katun..bas si nikeenda kuchukua rimot ili nibadilishe chanel haa ile nainama tu kushika rimot nikasikia kitu paah mgongon ..kumbe ni mkia wa taa sijui kaupata wapi .akanirapua nao paaa... ooh nilipiga ukekele ...huo!! .had mama yake akaja ..akanikuta nagara gara chini..huku nikilia kwa uchungu. Mama yake akamwita mwane kwa hasira brayan "umefanya nn sasa ..." Huyu ni anko wako ..haya nenda kachukue pip ule na moja umpe anko...wako..
Masiki kale katot kakaenda kuleta pipi ndo nipo naramba ramba hapa na kumumunya ila ..sitamsamehe hata akikua. Ushauri tuwafunze watoto wetu heshima ..jamani dah
[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani mtoto akupige na chupa tena ya taya alafu uanguke upoteze fahamu???
Ngoja nikaanue nguo kwanza nipige pasi !!!!
Tena ya kingese kabisa.Chai
Hapo umesahau bwimbwi, uwanga,korosho,m-bao (ming'oko),kinokera,embe sindano,kambale,siki,nyanya tunguja,unga wa muhogo na nazi kavu😂😂Sasa si ndio niliamini hivyo ndo vitu wanavimiss sana..kapu lilikua na
Dagaa, embe boribo. madafu. Pamoja na vitumbua, matembele na Mchunga ..bila kusahau pepeta
ChaiTukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki.
Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio na kunipora kapu langu nililobeba dagaa na vipande vya nguru kama zawad kwao.
Baada ya kufungua tu akaamuliza mama yake eti hivi ni vinini?? Mbona vinanuka sana alipijibiwa kuwa ni nguru na papa ...basi aka libutua kapu langu ..puuh .duh
Mama yake akamkemea na kumwa mbia kwa kidhungu noo briyaan this is bad..
Omba msamaha kwa uncle ..duh bas kakaja kuniomba msamaha ..na mm nikajifanya namkumbutia kimahaba ..he kumbe alikua na chupa ya pepsi alikua anakunywa .ile namuinamia tu akanibutua nayo ya mdomo kwenye taya paah ..hamad..nilianguka na kupoteza faham ..sikujua nilizimia kwa dakika ngapi ila
Ile nazinduka tu, nikakaona kako pembeni yangu ...kana angalia katun..bas si nikeenda kuchukua rimot ili nibadilishe chanel haa ile nainama tu kushika rimot nikasikia kitu paah mgongon ..kumbe ni mkia wa taa sijui kaupata wapi .akanirapua nao paaa... ooh nilipiga ukekele ...huo!! .had mama yake akaja ..akanikuta nagara gara chini..huku nikilia kwa uchungu. Mama yake akamwita mwane kwa hasira brayan "umefanya nn sasa ..." Huyu ni anko wako ..haya nenda kachukue pip ule na moja umpe anko...wako..
Masiki kale katot kakaenda kuleta pipi ndo nipo naramba ramba hapa na kumumunya ila ..sitamsamehe hata akikua. Ushauri tuwafunze watoto wetu heshima ..jamani dah
Kwani dagaa sio chakulaUnaenda masaki na dagaaa[emoji1787][emoji1787]