Sitamsamehe huyu mtoto wa mjomba wangu

Sitamsamehe huyu mtoto wa mjomba wangu

Tukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki.

Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio na kunipora kapu langu nililobeba dagaa na vipande vya nguru kama zawad kwao.

Baada ya kufungua tu akaamuliza mama yake eti hivi ni vinini?? Mbona vinanuka sana alipijibiwa kuwa ni nguru na papa ...basi aka libutua kapu langu ..puuh .duh

Mama yake akamkemea na kumwa mbia kwa kidhungu noo briyaan this is bad.

Omba msamaha kwa uncle ..duh bas kakaja kuniomba msamaha ..na mm nikajifanya namkumbutia kimahaba ..he kumbe alikua na chupa ya pepsi alikua anakunywa .ile namuinamia tu akanibutua nayo ya mdomo kwenye taya paah ..hamad..nilianguka na kupoteza faham ..sikujua nilizimia kwa dakika ngapi ila
Ile nazinduka tu, nikakaona kako pembeni yangu ...kana angalia katun

bas si nikeenda kuchukua rimot ili nibadilishe chanel haa ile nainama tu kushika rimot nikasikia kitu paah mgongon ..kumbe ni mkia wa taa sijui kaupata wapi .akanirapua nao paaa... ooh nilipiga ukekele ...huo!! .had mama yake akaja ..akanikuta nagara gara chini..huku nikilia kwa uchungu. Mama yake akamwita mwane kwa hasira brayan "umefanya nn sasa ..." Huyu ni anko wako ..haya nenda kachukue pip ule na moja umpe anko. wako.

Masikini kale katoto kakaenda kuleta pipi ndo nipo naramba ramba hapa na kumumunya ila ..sitamsamehe hata akikua. Ushauri tuwafunze watoto wetu heshima ..jamani dah
Haha... Hiii chai bila vitafunwa.. japo haya mambo hutokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki.

Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio na kunipora kapu langu nililobeba dagaa na vipande vya nguru kama zawad kwao.

Baada ya kufungua tu akaamuliza mama yake eti hivi ni vinini?? Mbona vinanuka sana alipijibiwa kuwa ni nguru na papa ...basi aka libutua kapu langu ..puuh .duh

Mama yake akamkemea na kumwa mbia kwa kidhungu noo briyaan this is bad.

Omba msamaha kwa uncle ..duh bas kakaja kuniomba msamaha ..na mm nikajifanya namkumbutia kimahaba ..he kumbe alikua na chupa ya pepsi alikua anakunywa .ile namuinamia tu akanibutua nayo ya mdomo kwenye taya paah ..hamad..nilianguka na kupoteza faham ..sikujua nilizimia kwa dakika ngapi ila
Ile nazinduka tu, nikakaona kako pembeni yangu ...kana angalia katun

bas si nikeenda kuchukua rimot ili nibadilishe chanel haa ile nainama tu kushika rimot nikasikia kitu paah mgongon ..kumbe ni mkia wa taa sijui kaupata wapi .akanirapua nao paaa... ooh nilipiga ukekele ...huo!! .had mama yake akaja ..akanikuta nagara gara chini..huku nikilia kwa uchungu. Mama yake akamwita mwane kwa hasira brayan "umefanya nn sasa ..." Huyu ni anko wako ..haya nenda kachukue pip ule na moja umpe anko. wako.

Masikini kale katoto kakaenda kuleta pipi ndo nipo naramba ramba hapa na kumumunya ila ..sitamsamehe hata akikua. Ushauri tuwafunze watoto wetu heshima ..jamani dah
Umeyataka mwenyewe. Dar es Salaam huwa hatutembeleani majumbani. Tunakutana kwenye viwanja (mara nyingi bar au kanisani) na kwenye matukio ya kifamilia kama vile harusi na misiba.

Usirudie tena kumtembelea mtu wa Dar nyumbani kwake. Jifunze kutumia simu.
 
images (8).jpeg
 
Tukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki.

Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio na kunipora kapu langu nililobeba dagaa na vipande vya nguru kama zawad kwao.

Baada ya kufungua tu akaamuliza mama yake eti hivi ni vinini?? Mbona vinanuka sana alipijibiwa kuwa ni nguru na papa ...basi aka libutua kapu langu ..puuh .duh

Mama yake akamkemea na kumwa mbia kwa kidhungu noo briyaan this is bad.

Omba msamaha kwa uncle ..duh bas kakaja kuniomba msamaha ..na mm nikajifanya namkumbutia kimahaba ..he kumbe alikua na chupa ya pepsi alikua anakunywa .ile namuinamia tu akanibutua nayo ya mdomo kwenye taya paah ..hamad..nilianguka na kupoteza faham ..sikujua nilizimia kwa dakika ngapi ila
Ile nazinduka tu, nikakaona kako pembeni yangu ...kana angalia katun

bas si nikeenda kuchukua rimot ili nibadilishe chanel haa ile nainama tu kushika rimot nikasikia kitu paah mgongon ..kumbe ni mkia wa taa sijui kaupata wapi .akanirapua nao paaa... ooh nilipiga ukekele ...huo!! .had mama yake akaja ..akanikuta nagara gara chini..huku nikilia kwa uchungu. Mama yake akamwita mwane kwa hasira brayan "umefanya nn sasa ..." Huyu ni anko wako ..haya nenda kachukue pip ule na moja umpe anko. wako.

Masikini kale katoto kakaenda kuleta pipi ndo nipo naramba ramba hapa na kumumunya ila ..sitamsamehe hata akikua. Ushauri tuwafunze watoto wetu heshima ..jamani dah
Ya kusadikika hii[emoji1787][emoji1787]
 
Umejua kunfurahisha.
 
Mkuu mamo y kuwafuata madada acha sio.
 
Back
Top Bottom