Sitamsamehe huyu mtoto wa mjomba wangu

Kwa maendeleo ya taifa letu. Naomba na me nichangie vitafunwa ili tunywe hii chai
 
hahaha chai ya rang alfu umezidisha sukari
 
Leo siku ya iddi na me nisikose cha kuchangia. Ngoja nichangie vitafunwa
 
Sasa si ndio niliamini hivyo ndo vitu wanavimiss sana..kapu lilikua na
Dagaa, embe boribo. madafu. Pamoja na vitumbua, matembele na Mchunga ..bila kusahau pepeta
Hapo umesahau bwimbwi, uwanga,korosho,m-bao (ming'oko),kinokera,embe sindano,kambale,siki,nyanya tunguja,unga wa muhogo na nazi kavu😂😂
Haya maisha wakina junior hawajui.

Au sio waukae!
 
Chai
 
Duh JF imejaa wahuni kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Bora tumeanzisha JF nyingine huku tutakuwa tunakuja kuchungulia tu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Umetuonaje we jamaa [emoji3][emoji3]
 
Ningekuwa mimi huyo dogo angebabuka shavu kwa mvuke tu wa kofi langu kabla halijatua sehemu husika.
Ila mkuu hii ni comedy scene safi kabisa kama unajua kuigiza ukiamua kutengeneza kafilm kadogo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…