Sitamsamehe huyu mtoto wa mjomba wangu

Haha... Hiii chai bila vitafunwa.. japo haya mambo hutokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeyataka mwenyewe. Dar es Salaam huwa hatutembeleani majumbani. Tunakutana kwenye viwanja (mara nyingi bar au kanisani) na kwenye matukio ya kifamilia kama vile harusi na misiba.

Usirudie tena kumtembelea mtu wa Dar nyumbani kwake. Jifunze kutumia simu.
 
Ya kusadikika hii[emoji1787][emoji1787]
 
Umejua kunfurahisha.
 
Mkuu mamo y kuwafuata madada acha sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…