Sitamsamehe huyu mtoto wa mjomba wangu

Ipo siku anko utaombwa toppe
 
Haya mahesabu ya kucontrol chapati mbili na kikombe kimoja cha chai yamenishinda,niongeze chai tafadhali ila safari hii tangawizi ikolee.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mjomba ameadhibiwa na mpwa wake hadi akalia kwa sauti na kuzimia!Maajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…