SITAPELIKI asanten hizo msg zinatosha sasa na mimi nawaahidi sitatapeliwa. Asanten sana mumetosha sasa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe kwenu wakuu

Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia

Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine

Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe

Asante sana

Kwaresma njema

LONDON BOY
 
Piga block mkuu, mbona vyepesi sana kuiondoa hiyo kero?
 
Amani iwe kwenu wakuu

Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia

Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine

Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe

Asante sana

Kwaresma njema

LONDON BOY
Mwache atukumbushe, wengine ni kama Tomaso,hawasikii!
 
Hautapeliki kwa mtandao, wakati mwamposa anakubatiza kwa maji na kwa damu ewe kilaza.
Haujamaliza mkuu na wale wa.. 'tuma na ya kutolea', siku hizi kaacha?
Maana tapeli ni kama shetani hana rangi wala sura.
 
Back
Top Bottom