Piga block mkuu, mbona vyepesi sana kuiondoa hiyo kero?Amani iwe kwenu wakuu
Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia
Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine
Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe
Asante sana
Kwaresma njema
LONDON BOY
Mwache atukumbushe, wengine ni kama Tomaso,hawasikii!Amani iwe kwenu wakuu
Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia
Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine
Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe
Asante sana
Kwaresma njema
LONDON BOY
Haujamaliza mkuu na wale wa.. 'tuma na ya kutolea', siku hizi kaacha?Hautapeliki kwa mtandao, wakati mwamposa anakubatiza kwa maji na kwa damu ewe kilaza.