LGE2024 Sitapiga kura mwaka huu, najuta kujiandikisha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

FAQ

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2024
Posts
415
Reaction score
1,311
Wagombea wangu wote wameenguliwa.

Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.

SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI
 
Wagombea wangu wote wameenguliwa.

Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.

SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI
Sio wewe tuu. Hata mie sito poteza muda wangu kuhalalisha ushenzi. Ccm ni mbwa. Kuanzia leo nachoma na kadi yao
 
Reactions: FAQ
Wagombea wangu wote wameenguliwa.

Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.

SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI
Mkuu hata mimi sina time ya kuharibu,wawe wanawateua tu hakuna haja ya uchaguzi
 
Hapo unakuwa haujawakomoa, ndio umetengeneza njia ya ushindi wa bila mawazo.
 
Huko Equatorial Guinea πŸ‡¬πŸ‡Ά kuna uchaguzi?!! Theodore Obiang mbasogo kafa?
 
Susa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…