Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wewe tuu. Hata mie sito poteza muda wangu kuhalalisha ushenzi. Ccm ni mbwa. Kuanzia leo nachoma na kadi yaoWagombea wangu wote wameenguliwa.
Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.
SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI
Ili upige kura lazima uwe na akili
Mkuu hata mimi sina time ya kuharibu,wawe wanawateua tu hakuna haja ya uchaguziWagombea wangu wote wameenguliwa.
Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.
SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI
Mwnyw nmeshangaa sana, kwan huu utaratibu wa kupiga kura umeanza linKumbe huwa mnapiga kura!!
Baltazari anakusalimia.Ili upige kura lazima uwe na akili
Mm nagombea kwenye jimbo lako utamu wako tuu 🔥
Mimi ni wako pekee daddy, wewe ndo mgombea pekee, utanitawala hadi kiama niko tayari 😍😍Mm nagombea kwenye jimbo lako utamu wako tuu 🔥
🔥🔥🔥Mimi ni wako pekee daddy, wewe ndo mgombea pekee, utanitawala hadi kiama niko tayari 😍😍
Nyie mnaugeuza uzi wangu kuwa kamba ya mapenzi yenu.
Sema ni kanafiki wewe🤣Kumbe huwa mnapiga kura!!
Tumuulize Baltasar Baltasar Ebang Engonga EngongaHuko Equatorial Guinea 🇬🇶 kuna uchaguzi?!! Theodore Obiang mbasogo kafa?
Hahahaha 🤣