Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Watu wengi wamekuwa wakifikiria kuwa labda nitaoa Waziri mmoja kati ya Mawaziri wanawake. Na hii imekuwa ikizushwa kwa kuwa nimekuwa peke yangu kwa muda mrefu.

Kimsingi Mimi siwezi kuoa Waziri kwa kuwa na MTU kutoka Taifa LA Marekani ambaye Mungu ana mwandaa.

Najua hata mateso nayopata inahisiwa kuwa nyuma kuna mawaziri wa kike na katibu mmoja wa CCM wakiratibu ili nioe Waziri. Mapenzi haya lazimishwi.

Deogratius N Kisandu
Aksanteni.
[emoji23][emoji23] Mungu tu akuchukue mapema uwahi kupumzika kwa amani sio kupata mateso haya ya kiakili
 
aliekaribu nae..ampeleke hospital..mana kuna siku atafanya mambo makubwa zaid ya kuandka mitandaon
 
Ndugu wa karibu wa uyu bwana wana dhambi,wanamuona mwenzao anapoelekea sipo ila hawampi msaada.
Mods pia wanahusika juu ya ili...wa note hz tarehe za dishi lake linapoyumbaga (warejee posts zake za uchizi kama hz) na wamsaidie kwa BAN matata kila tarehe hzo (walizozi'note) ili wampungumzie kiasi kidogo cha maumivu maana dishi linapochezaga vyuma kwa vyuma huwa vinasagana kidogo.

Mwisho,na sisi pia tuandae harambee ya kumsaidia mwenzetu. Kumkamata kinguvu na pesa za usafiri toka uko kwao Mwanza to Dodoma katika ile hosptal ya watu kama hawa wenyewe kupoteza channels hasa kipindi iki cha mvua na upepo mkali.

Nawasilisha
 
Watu wengi wamekuwa wakifikiria kuwa labda nitaoa Waziri mmoja kati ya Mawaziri wanawake. Na hii imekuwa ikizushwa kwa kuwa nimekuwa peke yangu kwa muda mrefu.

Kimsingi Mimi siwezi kuoa Waziri kwa kuwa na MTU kutoka Taifa LA Marekani ambaye Mungu ana mwandaa.

Najua hata mateso nayopata inahisiwa kuwa nyuma kuna mawaziri wa kike na katibu mmoja wa CCM wakiratibu ili nioe Waziri. Mapenzi haya lazimishwi.

Deogratius N Kisandu
Aksanteni.

Siku hizi kila nikiona uzi wako nafurahi bila kufungua ndani.... Keep it up.... Nahisi mkulu kama anapitia huku atakuwa anafurahi sana na soon atakutaja katika reference zake....
 
Huyu jamaa toka aende ccm cjui kawaje
 
Mwenye picha ya huyu Kisandu walau nimjue kwa sura. Maana kuna kipindi nilisikia alitaka kugombea urais.
 
Hahahaa!hv jaman hyuy mtu umri wake unasemake maana naona vitu vye vingi anavoandika kama haviendani na umri wake
Na ndio ujue huyo ni Mwl wa secondary! Pole kwa wanafunzi wake!
 
There is a problem somewhere ,,,,, i can sense it
 
Hospital unaenda lini Mkuu!? Acha kuwakwepa madaktari ili wakupe msaada haraka.

Back
Top Bottom