Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Dah! Nilikuwa sijacheka leo toka asubuhi ila Kisandu kanifanya nicheke.

Ila huyu jamaa nadhani yupo ulimwengu tofauti na sie kabisa.
 
Bashite bwana, amefikia hatua ya kulazimisha watu waoe mawaziri?
 
Mwenye picha ya huyu Kisandu walau nimjue kwa sura. Maana kuna kipindi nilisikia alitaka kugombea urais.
Huyo kwenye avator ndo yeye huwa hajificha ni Verified user....hana jina la Bandia mkuu
 
Joh don't take the life too seriously... relax, no one gets out of it alive anyway.
 
Mwezi mchanga. Mkuu sikuwa nakufahamu before ila kwa thread zako nlizoziona karibun ni wazi kuwa unaweza ukawa na Depression,
Kama sio kik mkuu tafadhali tafuta washauri wa kiafya
Huyu jamaa cjui huwa yuko serious,anapokua anaandik mabandiko yake!?? Au huwa anatuchora tu tunavomjibu,,

Nakumbuka mwalim nyerer aliwah kusema"kama mpumbavu akikwambia upumbavu wake ilihali na,ww ukijua ni upuuzi anaokwambia basi na wew n mpumbavu"

Mim nashauri tumpuuze tu huyu jamaa coz alishaon humu ndio pa kuleta ujinga wake na anasikilizwa……!!!
 
Back
Top Bottom