PreGE2025 Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Reference ya Kenya haiwezi kutusaidia hapa ...pamoja na Mabadiliko ya kikatiba waliishia kupigana tu
 
Nchi haitakiwi kuongozwa na wasiojitambu
 
Kwamba ACT na CHAUMA Wataenda Mahakamani kudai wameibiwa kura! 😂
 
Hakuna kilichobadilika zaidi ya kubadilisha jina.


Don't judge a book through it's cover.
 
Reference ya Kenya haiwezi kutusaidia hapa ...
Nani kasema reference ya Kenya haiwezi kutumika hapa kuonyesha maana ya neno huru?

pamoja na Mabadiliko ya kikatiba waliishia kupigana tu
Acha uongo , mabadiliko yalitokea baada ya kuchapana 2007 , katiba mpya wamepata 2010

Tume huru ya uchaguzi imepatikana IEBC 2011 baada ya ile tume ya kishenzi iliyosabisha maafa 2007 iliyoitwa ECK kuvunjwa 2010.

Tume ile na katiba ile ya kishenzi ya mkoloni ndio ilimpa rais mamlaka makubwa mfano kwa ktiba ile ya Kenya ya 1963 ukiwa rais automatically unakuwa mbunge katika eneo lako hivyo marais wote wa Kenya ukiondoa Uhuru Kenyatta na William Ruto ndio hawajawa wabunge na rais kwa waati mmoja.

Nafasi za uongozi kwa tume ya uchaguzi hazipatikani kama Tanzania ambapo rais anateua makada wa CCM tu bila vetting yoyote .

Jielimishe hapo kwanza mwenyekiti wa IEBC anavyopatikana Independent Electoral and Boundaries Commission | International IDEA
 
Pumbavu
 
Nani amekudanganya Kuna kitu inaitwa Tume Huru ya uchaguzi!! Wanani waliomba hiyo kazi? Hao si wateuliwa wa mwenye mamlaka!! Sasa imekuwaje huru.
WaTanzania tuamke.! Ucha kupumbaza!!
 
Nani amekudanganya Kuna kitu inaitwa Tume Huru ya uchaguzi!! Wanani waliomba hiyo kazi? Hao si wateuliwa wa mwenye mamlaka!! Sasa imekuwaje huru.
WaTanzania tuamke.! Ucha kupumbaza!!
Kwa hiyo ingekuwa ni ya kutangazwa huyo mshindi angekuwa mwajiriwa wa nani?
 
Walibadili jina na sio muundo
 
Mbinu hii iliyowafanya ccm kukaa madarakani muda mrefu imefikia mwisho. Hakuna mjinga wa hivyo tena. Zama zimebadilika, kama mlijaza makada wa ccm kwenye tume na mkatagemea watu wataendele kushiriki kama wajinga, basi zama hizo zimefikia mwisho.
Walijaza makada mpaka Chadema,kwa sasa Chadema imeshikwa na mpinzani haswa,CCM wamechanganyikiwa
 
"Court is the only organ vested with power to dispense justice in the country" KATIBA IMETAMKA HIVYO NAZANI ARTICLE 107 SIKUMBUKI SUB ARTICLE. Nimekujibu haraka haraka nna usingizi nipo toilet choo changu cha kukaa.
 
Kwahiyo tume itakuwa na tofauti gani na hao watendaji wa vijiji na kata wanao engua wagombea wa upinzani?

HAki ya mtanzania kushiriki uchaguI ni muhimu sana kuliko wayo maadili yao feki!
Kwa dalasa alilopiga Kiasi la NRNE hata majaji hawawezi kuruhusu ujinga kama huo!
 
Yupo Nguli mmoja anapendaga kuziita sheria fulani fulani kuwa ni Sheria BATILI 😳🤣🤣 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…