PreGE2025 Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata Mimi nakuunga mkono. Ikitokea itapaswa iingie kwenye maajabu ya dunia. Ukampinge aliyekuteua,anakupa mshahara na Gari halafu mpinzani ashinde!!! Hata Mimi ningetafakari.
Ndio maana Waswahili Wanasemaga Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Farao 😳 !
 
Ni mpuuzi Tu anayeweza kuandika na kuamini ujinga kama huu. Wewe naamini Sio mmoja wa hao wapuuzi.
 
Ni mpuuzi Tu anayeweza kuandika na kuamini ujinga kama huu. Wewe naamini Sio mmoja wa hao wapuuzi.
Ni mpuuzi anayeweza kuipinga hoja hii kirahisi...wewe siye kati yao
 
Tume huru ya uchaguzi? πŸ˜‚ Give us a break amigo.
 
Walichokifanya Hawa wajinga akiwemo na huyu jingalao ni kuongeza neno huru kutoka tume ya uchaguzi lakini uhakika siyo huru maana mfumo wa kuwapata hao wajumbe na mwenyekiti wa hiyo tume ya kijinga wanateuliwa na rais,Hivyo,lazima watafanya kazi Kwa kuegemea aliyewateua
 
Kwakuwa wewe ni mjinga basi hatutarajii lolote toka kwa mtu mjinga.
Kama tungekuwa tunalipwa kwa ujinga humu wewe ungrkuwa BILLIONEA
 
 
Ndg zangu: kuuliza si ujinga. Kama kuna anayefahamu tume hii iliundwaje na akina nani wanaounda tume hii 'huru' anifahamishe.
 
Ndg zangu: kuuliza si ujinga. Kama kuna anayefahamu tume hii iliundwaje na akina nani wanaounda tume hii 'huru' anifahamishe.
naamini ulimsikia mbunge wa chadema akifafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…