Sitasaau safali ya Serengeti kuwona wanyama.

elimu elimu
 
Ni mala ya kuanza natumiya hu mtandao sijawai kutafutwa na selekali
 
Hahahahaha. Ni mnyama ambaye hana macho, wala masikio.. Ila anaishi kwa feelings.
Pia muundo wake ni kama nyoka.
Basi itakuwa nilidanganywa, ila viumbe wenye sifa za namna hiyo huitwa wadudu
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Niriona wanyama mbarimbari na nimewataja tembo fisi nyat nyubu farasi
 
Nawo, nao .Kuwona, kuona kweli we Mkolomije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…