Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndonga ni nini eti? Nimeuliza nikaambiwa ni biscuitHuko mbugani mliona "ndonga"?
Hahahahaha. Ni mnyama ambaye hana macho, wala masikio.. Ila anaishi kwa feelings.Hivi ndonga ni nini eti? Nimeuliza nikaambiwa ni biscuit
elimu elimuKipndi nipo mudogo miyaka kama kumi na 16 arikuja mujomba wangu kutoka Itaria na kutupereka bugani kuwona wanyama nakuumbuka irikuwa muaka 2012 turipanda gari kutoka kijijini adi mwanza na kesho yake tukaeda kupanda magali ya kuwenda seregeti. Jiwoni tukafika mugumu na mujomba wagu mimi na mama pamoja na watoto wake aliyotoka toka nawo itaria. tulilala otelini hadi kesho tukachukua magali ya watali na kuaza kutembea kuwona wanyama hakika wale wanyama warikuwa wanavutia sana mujomba arisema kure itaria hakuna wanyama kama ware. Baadaye turiludi tena hadi muanza na kuerekea nyumbani.
hao Ndio Makonda Anawatafuta Wameamua Kubadili Id Zao AsiwajueEti ni ID mpya!!!!
JF kuna vituko jamani. Pale mwenyeji anajifanya mgeni
Basi itakuwa nilidanganywa, ila viumbe wenye sifa za namna hiyo huitwa waduduHahahahaha. Ni mnyama ambaye hana macho, wala masikio.. Ila anaishi kwa feelings.
Pia muundo wake ni kama nyoka.
Wadudu wakiwa wengi akiwa mmoja ni "ndonga" au "Dudu."Basi itakuwa nilidanganywa, ila viumbe wenye sifa za namna hiyo huitwa wadudu
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kipndi nipo mudogo miyaka kama kumi na 16 arikuja mujomba wangu kutoka Itaria na kutupereka bugani kuwona wanyama nakuumbuka irikuwa muaka 2012 turipanda gari kutoka kijijini adi mwanza na kesho yake tukaeda kupanda magali ya kuwenda seregeti. Jiwoni tukafika mugumu na mujomba wagu mimi na mama pamoja na watoto wake aliyotoka toka nawo itaria. tulilala otelini hadi kesho tukachukua magali ya watali na kuaza kutembea kuwona wanyama hakika wale wanyama warikuwa wanavutia sana mujomba arisema kure itaria hakuna wanyama kama ware. Baadaye turiludi tena hadi muanza na kuerekea nyumbani.
kani uriwawona wanyama gani?wale wanyama warikuwa wanavutia sana mujomba arisema kure itaria hakuna wanyama kama ware.
Nawo, nao .Kuwona, kuona kweli we MkolomijeKipndi nipo mudogo miyaka kama kumi na 16 arikuja mujomba wangu kutoka Itaria na kutupereka bugani kuwona wanyama nakuumbuka irikuwa muaka 2012 turipanda gari kutoka kijijini adi mwanza na kesho yake tukaeda kupanda magali ya kuwenda seregeti. Jiwoni tukafika mugumu na mujomba wagu mimi na mama pamoja na watoto wake aliyotoka toka nawo itaria. tulilala otelini hadi kesho tukachukua magali ya watali na kuaza kutembea kuwona wanyama hakika wale wanyama warikuwa wanavutia sana mujomba arisema kure itaria hakuna wanyama kama ware. Baadaye turiludi tena hadi muanza na kuerekea nyumbani.
Wakiwa wengi huitwa "wadudu", akiwa mmoja huitwa "mdudu".Wadudu wakiwa wengi akiwa mmoja ni "ndonga" au "Dudu."