Jay27
Senior Member
- Mar 14, 2018
- 153
- 174
Hii lugha gani tena au ndio kiitarianoKipndi nipo mudogo miyaka kama kumi na 16 arikuja mujomba wangu kutoka Itaria na kutupereka bugani kuwona wanyama nakuumbuka irikuwa muaka 2012 turipanda gari kutoka kijijini adi mwanza na kesho yake tukaeda kupanda magali ya kuwenda seregeti. Jiwoni tukafika mugumu na mujomba wagu mimi na mama pamoja na watoto wake aliyotoka toka nawo itaria. tulilala otelini hadi kesho tukachukua magali ya watali na kuaza kutembea kuwona wanyama hakika wale wanyama warikuwa wanavutia sana mujomba arisema kure itaria hakuna wanyama kama ware. Baadaye turiludi tena hadi muanza na kuerekea nyumbani.
😀😀