Taulo gani kaka yagu,
Taulo gani kaka yagu,
Marinda uko nayo?Swenta ra kuzariwa nalo handi reo nawezaje kuwa naro,
Swenta ra kuzariwa nalo handi reo nawezaje kuwa naro,
Mujomba arisema akija muakani tutaeda Gorogoro.
Serengeti hakuna farasi acha kutunga tunga.Niriona wanyama mbarimbari na nimewataja tembo fisi nyat nyubu farasi