Sitasaau safali ya Serengeti kuwona wanyama.

Huyu anajua kiswahili vizuri tu
 
Nakazia
 
hahahaa....
najuta kwanini nlkua naupotezea huu uzi
ninaeinjoyi kwer kweri jeiefu tamu sanda
 
Nirikua sina umeme kwenye simu yagu wakati najiunga lafiki yagu haliniambia nintumie hili jina ra pembe za panzi yeye ndie arinisajiria na kuniwekea pincha na reo amenibadirishia. Arisema umu unatakiwa huweke pincha ya watu wa zaman hiri uhonekane musomi?
 
Pembe za panzi avatar ya mr bean ndio ilikuwa inasadifu na style yako hii ulokuja nayo ila Avatar ya sasahivi ina usiriasi fulani rudisha ileile mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…