Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Sasa hivi utaambiwa na wazee wa kilimo cha PDF tumia sijui mbegu za F2 na uziloweke kwenye SUPER Gro kwa 24 hrs hapo lazima kwny heka 1 upate sio chini ya mil 6.

Kibongo bongo Kilimo=umaskini
Mimi yaliwahi kunikuta kweny Kilimo cha nyanya.
nlipiga Loss ya zaidi ya Milioni2.
Nikitulia nitaileta hii stori ili wengine wajifunze. Sijakata tamaa sahizi najipanga narudi tena shamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
biashara ya hayo maduara ilimfilisi Uncle..

alikuwa na Hotel na nyumba tena katikati ya jiji LA Mwanza...vyote aliweka poni kama hajauza

wajanja wakamhadaa...na tamaa ikamtawala,tena ni doctor

halafu hajakoma story zake ni hizo hizo za machimbo ya Geita na utajiri nje nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh huyo jamaa ana roho ngumu aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimekuwepo huko najua nje na ndani atleast wale wanaozesha marudio angalau kidogo, wengine ni wale wamilki wa maeneo kama ustadh yule wakwanza kabisa kuchimba pale namba tisa wengine ni stori tuu


Mie naongelea upatikanaji wa dhahabu ulivyokuwa mwanzoni kbs! Maana kuhila tulihila mno tu!
 
Kweli
Biashara ya uchimbaji ni tatizo mkuu, hapo kafara bado hujaweka

wanafanikiwa ni 2/10 tena sio kwa njia ya kunyooka trust me
Kuna vijana wadogo wanakuja mgodini na kila 100+ ya kununua mawe tuu.
Halafu yupo 20's
 
Mimi yaliwahi kunikuta kweny Kilimo cha nyanya.
nlipiga Loss ya zaidi ya Milioni2.
Nikitulia nitaileta hii stori ili wengine wajifunze. Sijakata tamaa sahizi najipanga narudi tena shamba
Hongera mkuu
 
Aisee hajashtuka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…