Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

tatizo ni kuweka utaalamu pembeni na kutegemea ndumba kupitiliza,huyo mganga wako wa mwisho aliupa ushauri mzuri tafuta mtaalamu
Exploration Ni gharama ambayo hatuiwezi
 
Safi sana lipo maeneo gani
 
story yako imenichekesha sana aiseee kwa jinsi ulivyo elezea
 
Mchoji.
 
Huko ndo pakusomea gepu kama huna mtaji wa vifusi au wa kuchimba au wa crusher


Ila nashangaa wapiga ukware wote ni ke..sijui y wanaume hawapgi!au aibu?
Mie mishe nayosuggest kama una 500k ni matestio!..mie nna matestio pia zaidi ya 20! Kwa mwez hukosi gramu za kutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…