Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Ukitoa mpesa Kuna issue nyingine ipi ya kumake hela maana wengine huwa hatuchagui kazi.

Hiyo ya vifusi nadhan iwe mbeleni
 

Jamaa yupo na 500k wewe unampa dili la 10m, itabidi umkopeshe tu!
 
Ukitoa mpesa Kuna issue nyingine ipi ya kumake hela maana wengine huwa hatuchagui kazi.

Hiyo ya vifusi nadhan iwe mbeleni
Best Kuna mambo mengi mengi tu..hata hizi pool zinalipa...nenda kwanza migodini..nenda segese Kama uko siriaZ
 
Sijawahi na sitawahi dhamini duara mimi!anachoongea ni kweli tupu!acha tujikimbizie vifusi na kununua vifusi kina sie!
Mimi sio kupunguza tu aisee!nimerelax mnoo!ntafia huku tu!
Ingawa changamoto ni mob!
[emoji41][emoji848][emoji848][emoji848]
Unabaki kushangaa..kwel watu tumetofautiana sana
Kujifunza ukiwa na hela ni mtihani sana unatakiwa uende machimboni ukiwa huna kitu mfukoni labda hela ndogo tu ya kula na ishu ndogondogo ili usiwavutie watu kukupiga kupitia mtaji wako.
Hivyo ndivyo nilivyoweza kupata ujuzi na uzoefu kwenye sekta ya dhahabu, nilianzia Masumbwe Shenda,kwenye migodi ya sesa nikijifanya sina kitu kabisa, nikajifunza miamba ya dhahabu, nikahamia Iramba,jirani na hapo, nikaanza kununua mifuko michache, nikahamia Kanegere, Kakumbi alhamdulilah napata kafaida kwa sasa naijua game vizuri kidogo kwa sasa. Ingawa lengo lilikuwa kuweka garasha tangu awali
 
Hongera biashara ikikubali utaona 1mil kama 10k
 
Kwa msimu huu sehemu kubwa ya uchimbaji haitoi mliopo kwenye gemu hasa mikoa ya geita mtachoma ela
 

Tulikua majirani kumbe..mie nilikua nyakafuru mwasumbwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…