Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

mkuu bado kidogo tu uchukue V8 yako [emoji1544][emoji1544][emoji38][emoji38] watu wanajua kutia moyo
Yaan kwa kipindi hicho nilikuwa na mawazo ya kitajiri sana sikuwaza kimaskin
 
Ushauri wa kitaalam kabisa, kongole kwako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ndo maana unatakiwa usmart tu kucheza na akili!ukiwa na gest let say 35rms hukosi laki kwa siku!
Ukiwa na mgahawa ukahakiksha umewashika waponchaji hukosi 200@
Achana na ukota ..lazima kifusi kikimbie tu! Wengine ni multfunctional!
 
Ilikuwaje

Aliniomba kuwa join ... walikua na duara moja ... wakakosa mtu wa kutoa hela ya pump ..... jinsi alivyo kua anasisitiza kua madini yapo karibu na simu nyingi... roho yangu ilisita tuu.
 
Unaongelea Madini au Majini? Nimechimba Green Garnet,Green Tomalin na dhahabu kilichonikuta raha kuadisiwa yasikukute. Nashukuru kwa uzoefu niliopata sasa hivi uwezi nidanganya Kuhusu madini uwezi niuzia kakumba Lakini Hata uniambie tuchimbe Mita Moja tutapata madini sitoi hata mia ya Kuchimbia nitakwambia chimba wewe Utajirike niache na umaskini wangu. Kuna watu wanachimba madini wakiwa watoto na kuzekeea migodini huku hawajapata kitu wanaona aibu kurudi nyumbani kwao hadi hivi leo wapo migodini na wengine wanafia huko ndugu zao hawajui, madini si mchezo. Haya ni Madini au majini?swali gumu hili usikurupuke
 
Unanikumbusha mbali Sana nilipo mpiga mtu na ponchi ya kichwa pumbavu zake kwa kujifanya mjanja Niko ndani ya duara tuko wawili tu alafu dhahabu anayo Mungu anisamehe Sana haikuwa kusudio langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hamnaga tofauti ya shehe na mganga wa kienyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hamnaga tofauti ya shehe na mganga wa kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mambo hazina cha mganga wala sheikh, it's pure science mzee..

Ukichimba 'blindly' lazima ule za uso, kabla ya kuchimba fanya hata preliminary assessment, maduara ya pembeni yamefika? Uko nearby place ya gold vein kupita hapo?

Kila ukichimba mizamo kadhaa lazima uchukue sample kujua grade inaenda aje mzee, otherwise mtu utakula za uso ukisingizia kuna mtu ana nuksi sijui manini nini huko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu tunataka tuwe mamilionea overnight. Hii biashara ya gold inalipa, tena inalipa haswa ukiipatia.

Ila kama biashara nyingine, risks zipo nyingi tuu, so kabla ya ku invest heavy at least uwe na knowledge ya nini unaenda kufanya.

Hii kitu kitajirika ni rahisi, ila kufilisika ni rahisi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke una akili ww. Hongera sana my dear nakupenda sana vile ulivyo.
Ndo maana unatakiwa usmart tu kucheza na akili!ukiwa na gest let say 35rms hukosi laki kwa siku!
Ukiwa na mgahawa ukahakiksha umewashika waponchaji hukosi 200@
Achana na ukota ..lazima kifusi kikimbie tu! Wengine ni multfunctional!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…