Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

Kukandwa na maji ya moto baadae ukawashiwa AC.Ila mwaisa ulikuwa mpenzi sana wa yule aliyekuwa anahadithia mtu ameshika kichwa cha treni anasikiliza kama redio.Anayemkumbuka anitajie.Watoto mkalale
 
Mushukru Mungu sana amekupa mwanamke mwema! Lakn angekuwa n mwingine kichefuchefu unge rud kwa mchepuko lkn amekupokea na kuona madhaifu yko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…