Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
🤣🤣🤣🤣😊😊Hahah hahah haha nimecheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣😊😊Hahah hahah haha nimecheka sana
Soma hapo juuWe mzee bana huishi vituko...sasa ulivyorudi nyumbani ikawaje
Pls bro..[emoji1545][emoji1752]Dude.... sina mengi aiseee..... ntakutafuta kwenye ulimwengu wetu wa rohoni
Yaani tangu 2018 hadi leo visiwe vimeota?Kwahiyo sasa hivi vimeota?
One lovePls bro..[emoji1545][emoji1752]
Halafu nyie mwapendanaBuji naomba na chapati mbili....
Natania mkuuAisee
Mi na Buji?🙄Halafu nyie mwapendana
PoaNatania mkuu
Mi kiukweli nakupenda sana tu, ila hili domo limeshindwa kazi tangu zama zile za LEO TUKO HAPAMi na Buji?🙄
Kukandwa na maji ya moto baadae ukawashiwa AC.Ila mwaisa ulikuwa mpenzi sana wa yule aliyekuwa anahadithia mtu ameshika kichwa cha treni anasikiliza kama redio.Anayemkumbuka anitajie.Watoto mkalaleAisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena.
Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana toto na sikuwa najali kitu, pesa iliongea na ikanipa kiburi.
Huyu mrembo alikuwa ni afisa mikopo kwenye moja ya tawi la ile benki ya kijani, alikuja ofisini kutafuta watu ambao wangependa kuchukua mikopo kutoka kwenye benki hiyo huku dhamana ikiwa ni mshahara wako.
Mimi nikiwa kama kiongozi wa idara, binti alikuja moja kwa moja ofisini kwangu, akanieleza dhamira ya kilichomleta.
Maongezi yalikuwa mengi na matamu hasa, nilimtamani na nikamuhakikishia kuwa nitawashawishi wafanyakazi wachukue mikopo ili apate bonus nzuri, na nikamwambia aje wiki inayofuata ili nimuandalie kikao na wafanyakazi.
Basi mimi na mrembo mahusiano yakawa moto, mitoko, safari za mikoani na kadhalika. Kwa connection nilizonazo nilihakikisha napanua wigo wake wa kupata wafanyakazi wanaotaka mikopo.
Mapenzi yalinoga mpaka akawa analazimisha nizae naye. Kuna siku alinitisha sana, wakati tunatenda tendo akaropoka, nitamroga mke wako afe ili unioe mimi.
Nikashtuka sana, ila sikutaka aone jinsi kauli yake ilivyonishtua. Siku hiyo nilikuwa nimepiga Courvoisier za kutosha.
Baada ya game, nikapitiwa na usingizi mzito sana, binti akainhiliwa na pepo la Delila, akaninyoa nywele zote ambazo sio za kichwani.
Alininyoa garden love kifuani, akaninyoa mavuzi, vinyweleo miguuni na mikononi, akaniacha kama katoto kadogo.
Akanipiga picha na kumpostia mke wangu.
Kipindi hicho mke wangu alikuwa kwenye maombi makali ya kufunga na kuomba ili nibalishe aina ya maisha ninayoishi.
Alikuwa anafunga siku 21, akimaliza anafunga 3 kavu, yaani hayo ndiyo yalikuwa maisha yake.
Mke wangu alipoipata hiyo picha kwenye WhatsApp akafurahi sana, akamjibu SASA NIMEMSHINDA SHETANI.
Nilipoamka ilikuwa saa saba kasoro dakika kadhaa usiku, benka alikuwa pembeni yangu akinitomasatomasa huku akinibusu vibusu vingi vidogodogo vitamu, sikuwa najua kinachoendelea.
Pombe ilikuwa bado kichwani, Courvoisier sio ngoma ya kitoto. Mrembo akanisihi nikajimwagie maji. Mzee nikaingia bafuni na bathrobe la hotelini, nikaoga na kwasababu ya mapombe sikugundua kwamba nimenyolewa.
Nilipotoka bafuni, mrembo akaanza kuniandaa kisailolojia, leo ukifika kwako mkeo akikuzingua tu, njoo kwangu tuanzishe familia, maana usiku wa leo mke wangu lazima aniwashie moto, na ndoa yetu lazima ife. Sikumwelewa.
Akaniambia nivae, kisha nimpitishe kwake halafu niende kwangu, akinizingua tu nirudi nikalale kwa mchepuko.
Nikamshusha kwake, nikaenda home, hapo tayari imefika saa tisa kasoro.
Nikafika nyumbani huku nikiyumba na kupepesuka kwa ulevi, mke wangu akaja nduki kunifungulia mlango.
Akanipokea kwa mabusu lukuki yasiyo na idadi, mabusu motomoto, akanishika kiunoni na kuniongoza hadi chumbani.
Akanipa Pole nyingi zilizojaa upendo, akani sponge na maji ya vuguvugu, akaniwashia ac , akanikumbatia kisha tukalala.
Asubuhi akaniamsha, nikaingia bafuni, nikachukua kikombe cha mswaki, nikachota maji bombani, nikayanywa mengi, nikatia kidole kooni, nikaanza kutapika, nikatapika sana mpaka nyongo ikatoka, nikaridhika. Nilikuwa nafanya hivyo ili niwe mpya kabisa kuyamudu majukumu ya siku mpya pasi na shaka yoyote.
Nikakimbia kuelekea kazini. Mke wangu akanipigia simu, akiniambia kuwa ananipenda sana, na mimi ni mtu muhimu sana kwenye maisha yake.
Akanipostia picha zangu alizotumiwa na mchepuko, akaniambia ananipenda sana, amesha nisamehe kwani shetani ana mbinu nyingi na anaiwinda sana ndoa yetu, hivyo yeye kama mwanamke shupavu ni lazima ailinde ndoa yetu kwa nguvu na akili pia.
Baada ya maneno yale nikajikuta nimemchukia kabisa mchepuko wangu, tulipitia kipindi kibaya kabisa hadi akanipeleka takukuru kuwa nilimuomba rushwa ya ngono ili nimpe wafanyakazi wachukue mikopo.
God is always good, niliyashinda majaribu yote na sasa ni baba bora zaidi ukinilinganisha na nilivyokuwa jana
Mushukru Mungu sana amekupa mwanamke mwema! Lakn angekuwa n mwingine kichefuchefu unge rud kwa mchepuko lkn amekupokea na kuona madhaifu ykoAisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena.

Hahah hahah hapana, alikuwa ni mpaganiMzee baba huyo mchepuko alikuwa anasali kwa Mwingira? Nimemfananisha na mdada fulani mwenye vituko kama ulivyo elezea.
Shing"weng'weKukandwa na maji ya moto baadae ukawashiwa AC.Ila mwaisa ulikuwa mpenzi sana wa yule aliyekuwa anahadithia mtu ameshika kichwa cha treni anasikiliza kama redio.Anayemkumbuka anitajie.Watoto mkalale
Sawa bossHahah hahah hapana, alikuwa ni mpagani