Sitasahau kaka yangu alipooa mshirikina

Na wewe pia uliponea kwenye tundu ya sindano kwa mha wako. Mnaishi wapi mpaka mnakutana na watu wa ajabu hivi?
 
Na wewe pia uliponea kwenye tundu ya sindano kwa mha wako. Mnaishi wapi mpaka mnakutana na watu wa ajabu hivi?
Ni kweli aisee we acha tu tupo humu kwenye miliki ya Mungu
 
Ukitaka kumjua mwanamke mchawi fanya hv ikifika usiku saa 9 mmelala kitanda kimoja mshike mkono wa kushoto ukiona wa moto piga chin haraka sn tatizo lenu hamkai maskan mshana jr kaongeq sn humu hata udi kuchoma hujui
Sasa akiwa kazini na Yeye si anakupa usingz mzito usiamke
 
Mi niliishi nae na nilimgundua wiki ya kwanza tu kuja ghetto, nilikuta kikaratasi ameandika jina langu afu mbele jina lake then jina langu hivyo hivyo karudia kama mistari saba hivi, ila kiukweli kama kuna watu siwaogopi kwa sababu na uhakika hamna kitu wanaeza nifanya ni wanawake washirikina.
Nilimvumilia ila kichwani nilishaweka akilini kwamba ni mwanamke ambaye siwezi, sitoweza kuishi naye nlikuwa namuobserve tu nijue washirikina wanafananaje. Ila kilichonifanya nimtimulie mbali ni uchafu washirikina ni wachafu na ukiwa na mwanamke mshirikina ndani mwako hamna baraka ya Mungu itakosea njia iingie hapo, ni michafu hii mijitu Acha kabisa.
NB. Nilichojifunza katika research yangu
I) hawa wanawake washirikina wana nuksi na mikosi ukiishi naye utapata pesa kwa shida sana na ukiipata anakuwa tayari kakutajia vitu anavyotaka umnunulie hivyo hata hiyo hela umnulie usimnunulie hauta ona ilipoenda utajikuta tu umeishiwa (mahitaji anayokutajia sio mahitaji ni manuizi)
2) wanapenda kukuchokoza, kufanyia maksudi/drama ilimradi akutibue tu anakutingisha kama umejaa (kuna siku nlitaka nimtwange nyundo ya bichwa hapo ndo wazo la Kimungu likanijia nimtimue aende kwao)
3) asilimia kubwa ya wanawake washirikina wanakimoja au vyote kati ya hivi, ujinga yaani shule hamna au failure na umasikini yaani halo ngumu ya familiar wanazotoka, sisemi wakishua hawana hizo mambo ila mpaka mtoto wakishua akufanyie hivyo labda uwe umemzidi kipato au umaarufu unless otherwise atakuwa anataka kukutoa kafara atajirike yeye.
Angalizo: ukigundua mwanamke wako Ana haya mambo timua bila hata kuomba ushauri mahali, la sivyo ipo siku yatatokea majanga mkubwa zaidi either akumalize au ummalize.
Nitaandaa uzi ni namna gani nilimgundua na ni mambo gani huwa wanapenda kufanyia labda itawasaidia wanaume wenzangu kutuepusha na hili janga.
 
Nimekaa seat ya mbele kabisa ukija na bandiko lako usisahahu kuni tag
Pole sana mtu wa Mungu
 
mie hao wachawi adimu ndo nawapenda km kuna mtu anamjua mchawi anitonye!!.....wachawi popote mlipo jitokezeni!! yaani mie nakupeni ushiirikiano mwanzo mwisho mkuje huku kwangu!!

tutaanzisha collabo hatare sana!! lazima tutajirike yaani ntaiba hela hee wee acha tu!...sasa mie ntaiba ofisini mpaka wakome!
 
Dah pole sana mkuu huu mkasa unatisha
 
Hao watu hapana staki hata mazoea nao
 
Ukitaka kumjua mwanamke mchawi fanya hv ikifika usiku saa 9 mmelala kitanda kimoja mshike mkono wa kushoto ukiona wa moto piga chin haraka sn tatizo lenu hamkai maskan mshana jr kaongeq sn humu hata udi kuchoma hujui
Ukiskia wamoto kama kuni ama moto wake unakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…