hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Asee
Natumaini haijatokea mara ya tatu. Me haijawahi kunitokea tenaMimi ishanitokea kama mara 4 kwa wanawake tofauti. Wa kwanza ilitokea siku ya kwanza (nikiwa ndio nimemaliza form four miaka ya 90 huko), na wa pili ilitokea siku ya kwanza na hata alipokuja mara ya pili sikudindisha, nikaamua nisijaribu tena. Yeye ananitafuta sana tujaribu mara ya 3 kwa sababu nilikula rafiki yake akamsimulia bila kujua yeye nimewahi kujaribu mara 2 sikudindisha. Hizi mara 2 zingine imenitokea kwenye game ya pili, kwa hiyo demu akiwa anajua kabisa nasimamisha
Vipi Mzee 😀😀Aisee! We jamaa wewe..
Nadhani ni tatizo ila siamini kama ni kubwa. Nikiwa na demu akafanya kitu flani tu au akaongea kitu kikanikera napotezaga nae mzuka kabisa.Natumaini haijatokea mara ya tatu. Me haijawahi kunitokea tena
Hofu kaka siyo nyetoSijasoma uzi wote ila chanzo ni NYETOGO
Inachangiwa pia na nyetoHofu kaka siyo nyeto
Acheni nyeto sio nzuriKwa hiyo tuache? 😀😀😀