Sitasahau nilipokuwa natembea na mke wa mtu

Sitasahau nilipokuwa natembea na mke wa mtu

Watanganyika msidanganyike Zanzibar ni nchi ina sifa zote za kuwa nchi tujipange kudai taifa letu la Tanganyika, Zanzibar wana rais, bunge, mahakama zao, vitambulisho vyao vya taifa lao, wana taasisi zao za kiserikali, wana haki nyingi wakiwa huku Tanganyika kama kununua ardhi, kuwa viongozi eg akina makombo na bi kizimkazi nk ila mtanganyika hana haki hizo. Wazanzibar must go aisee enough is enough.

Aloo niliwahi kutembea na mke wa mtu na penzi lilikuwa moto moto kweli kuna mambo kadhaa yaliniacha mdomo wazi kabisa kama yafuatayo..

Yule mwanamke alikuwa hampendi mumewe kbs hakuwa na hisia naye na alikuwa anaishi naye sababu tu hana pa kwenda.

Pili na la ajabu aloo nyie mnaowaingilia wake zenu kinyume na maumbile mna matatizo gn maana yule mwanamke nilikuwa namtega akawa anakataa kwamba hafanyagi na mumewe labda tu inatokeaga dushe linakosea njia ndo linaenda huko, ooooh kwa kifupi hakuwa na marinda na muhusika ni mumewe.

Wanaume kama una mke hakikisha unamlinda mkeo maana hawez tongozwa na wanaume 10 eti wote afanikiwe kuwakataa, maana mazingira aliyokuwepo mumewe alikuwa anafanya kaz mbali na mji kbs anakaa huko hata miezi miwili vijana walitongoza sn lakini hawakutoboa ila mi nilimaliza.

Aloo hakikisha kama una tabia za kumsusia mkeo kitu kidogo tu unasusa kwamba humtafuti na kumtishia tishia kuachana wkt huna mpango huo hapo unamfungulia mlango wa kumpa nafasi mwanaume mwngn kama backup maana tayari ameshaona dalili za kupgwa chini hakuna future hapo.

NB; Niliamua kuachana naye baada ya mumewe kuja na kumuachia gono bt nilimtibia kwa hela zangu kisha nikamuaga na kumuonya awe makini na mumewe atamuachia hata umeme.

Karibuni watukanaji, washauri, wanafiki na wale wa tafuta hela pia uwanja ni wenu.
Mimi umenichanganya kusudi ni Zanzibar au mke wa mtu?
 
Umeanza para za mwanzo kuchomekea siasa kisha ukaleta mada yako halafu ukaweka picha za mishedede
 
Back
Top Bottom