Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Ni mbele ya uzuri wa kondoo, kiliwekwa mpaka kituo cha askari wa kusindikiza magari kuna kona flani hivi ya mchongo,

Ngoma nzito ni kimisi huko ndo pabaya hata sasa bado panaogopesha kiaina
Sidhani kama ni uzuri kwa kondoo. Uzuri wa kondoo ni karibu sana na Kihanga/Kayanga. Labda nyuma kidogo baada ya Kitengule.
 
Story haijaisha! Ujatuambia mzee wako alivyojua ikawaje
 
Story haijaisha! Ujatuambia mzee wako alivyojua ikawaje
Niliamua kuifupisha sn ili iishe maana muda wa kuandika ni mfinyo na wasomaji hawakuelewi husipobandika epsod. Nimejaribu kufanya walichokipenda. Kumalizia story bhasi!
 
Niliwahi kaa kijiji kimoja, nyumba ninayokaa ni karibu na makaburi yani usiku unaona miale ya moto ikiwaka huku inazunguka kwa tafsiri ya kuwa imeshikwa na watu lkn hawaonekani.
 
Niliamua kuifupisha sn ili iishe maana muda wa kuandika ni mfinyo na wasomaji hawakuelewi husipobandika epsod. Nimejaribu kufanya walichokipenda. Kumalizia story bhasi!
Hata kama umeifupisha, ilikuwa ni sehemu muhimu sana kujua, wazazi wako waliipokeaje taarifa ya kutekwa kwako.
Sio tukio dogo lililokupata!
 
Wasalaam

Ndugu wasomaji, nimefuatilia nikaona kuwa wasomaji wangu wengi hawakuridhishwa na kuimaliza story bila kuwepo kile kipengele kinachoonesha wazazi walizipokeaje zile taarifa za utekaji.

Nimeona si busara kuwaacha hewani katika hilo tukio ambalo pia kweli lilikuwa important kwangu.

Kama mtaniruhusu, nitawaletea BONUS ya hilo tukio yaani nikiipa jina " MWISHO KABLA YA TAMATI.."
ARE YOU READY?!
 
Am ready to receive it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…