Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

me natamani uendelee hapa hapa na visa kuhusu hao wasichana wako.
lakini uliwezaje kuwa na wasichana shule moja. maana nikiangalia kwa picha ya ile shule niliyosoma mimi lazima wajuane tuu. maana mida ya kukaa na mpenzi kuongea inajulikana. lazima watu wajue tuu maana midA ile upo na demu fulan daily.
 
Unawataja majina kabisa na nchi waliyopo unataka waachike kwa waume zao
 
Back
Top Bottom