Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Yani 24/7 wageni ukiwasimulia km hivi hawaamini kama mpaka 2005 mitaa hiyo kulikuwa na utekaji
Hawawezi kuamini. Ninamkumbuka RPC Venance Tossi ndio alisafisha issue za utekeaji barabara hiyo na pori la Khimisi. Ilikuwa ikikaribia Krismasi lazima matukio yatokee.
 
Nourhan pita hapa kuna kipendacho roho
 
Kwa hiyo umekuwa invigilator? Hata hivyo nashangaa umeacha usingizi wako Ila uko hapa unafuatilia uongo in this bad time of the night!
Stori iwe yakweli au uwongo ,punguza vile vitu visivyomihimu Sana mbwembwe na umri umeenda wapi nawapi
 
Hilo eneo mlipotekewa nalifahamu kwa uzuri kabisa (kwa sasa kuna mifugo ya JPM) nimeenda karagwe kabla ya lami kwahiyo siko mtoto hivyo ila umezidisha mbwembwe
Ukosahihi kabisa Ila jamaa vitunguu anazidisha kwenye mboga
 
Nikupe kongole ndugu yangu kwa kupata wasaa kushare kidogo na sisi maswaibu yaliyokupitia .......ni msoto ulipitia lakini ni funzo kubwa umetuapatia ambao unatujenga na kutuongezea ukakamavu na ujasiri tukimtanguliza Mungu Mbele

Ulipotukwaza hatuna budi kukusamehe maana na sisi hatuna cha kukulipa zaidi ya ASANT kwa kushare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…