Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Bendera ya Bati Nijuavyo mimi ebzi hizo ada kwa shule za serikali ilikuw kati ya 10k to 16k
Je hii yako ilikuwa private?
Ilikuwaje uwe na kibunda kikubwa hivyo cha kufanya hayo yote..lodge, viatu na nguo?

Mkuu mwaka upi huo ada ya bweni ilikuwa kiwango hicho?
 
[emoji28][emoji28] miaka ya 2002 nilikuwa naenda karagwe kama msimuliaji anavyosimulia ndio ilikuwa route yangu ya kwanza mkoa wa kagera nikitokea mwanza...
Niko mkoa wa kagera itabidi nifike uzuri wa kondoo nipaone
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…