Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Kuna baadhi ya watu wanaudhi sana hapa JF. Kumbe ndio maana watu wanaishia katikati ya story zao wanakimbia. Unakuta ka mtu kanakula ugali wa kuletewa kanashiba kanakosa sehemu ya kupumulia kanakuja kupumulia hewa hapa.
Mie sijasoma story yako,niliona hii thread nikaipotezea,lakini kila nikiingia JF naikuta kwenye trending. Leo nimefungua ndio nikajua ni simulizi moja kwa moja nikaja page ya mwisho kujua kama umepost yote au ndio mambo ya vipande. Wasiwasi wangu umekuwa kweli,naona tayari unagombana na watu. Kwanini msiandike simulizi zenu zitimie ndio mpost humu? Kila siku ugomvi ni huu huu. Mie binafsi sitasoma hata nukta moja.
 
Wewe hujalazimishwa kuifuatilia hii story. Nitafute attentions? then for what?! Nitafute attentions kwa watu wasionijua? Kweli JF hii ni kokoro linalozoa kila ana ya watu.

Niliwambia hapa kuwa mimi pamoja na kuandika hapa niko nabanwa na majukumu ya kifamilia. Thus, I can't keep on typing here whilist, some other crusial responsibilities dinied pending. Unaona huna ustahimilivu, quit the post. You are not compiled to be here by anybody. Poor girl!

I like your English
 
Kuna baadhi ya watu wanaudhi sana hapa JF. Kumbe ndio maana watu wanaishia katikati ya story zao wanakimbia. Unakuta ka mtu kanakula ugali wa kuletewa kanashiba kanakosa sehemu ya kupumulia kanakuja kupumulia hewa hapa.

You must learn to accept challenges, some not all are of help to you in case you plan to be a good author/ storyteller
 
Wasimulizi wanaotafuta attentions za watu....ndio kama nyie...haya story yako uje uimalizie Kesho

Au unajazia uongo tuone jinsi fisi alivyo muongopea sungura

Mmerogwa
Mtu ameleta uzi kwa mapenzi yake mwenyewe, vipi unataka kumforce, aache kazi zake aandike kwa kukufurahisha wewe! Unataka soma hutaki kasome nyuzi zingine kwani tunamlipa? Jifunze kumpa mtu uhuru.
 
Maisha yalikuwa magumu mno acha tu kwa sasa karagwe bk ni kugusa tu 24/7 gari zinatembea,, mziki umebaki kasindaga, kimisi na nyakahura na ulipunguzwa nguvu alivyoingia Magufuli, saiv wameruhusu kupita hata usiku mkubwa ila mie bado sina imani napo matukio yalikuwa mengi mno japokuwa namshukuru Mungu sikuwahi kupitia hayo madhira
Technology imepunguza ujambazi hata wakiwavamia hata shilingi laki tatu hawapati pesa zipo kwenye simu au bank wakipora simu wamejikamatisha wenyewe.
Majambazi wengi sana wanalia sana njaa siku hizi
 
Wewe hujalazimishwa kuifuatilia hii story. Nitafute attentions? then for what?! Nitafute attentions kwa watu wasionijua? Kweli JF hii ni kokoro linalozoa kila ana ya watu.

Niliwambia hapa kuwa mimi pamoja na kuandika hapa niko nabanwa na majukumu ya kifamilia. Thus, I can't keep on typing here whilist, some other crusial responsibilities dinied pending. Unaona huna ustahimilivu, quit the post. You are not compiled to be here by anybody. Poor girl!
Asa Mimi kosa Langu nini? mpaka uniseme kingereza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom