Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Story unaweka maelezo mengi yasiyo na msingi yanabore tu. Hujui kusimulia. Unataka kwe ndefu wakati ilishaisha mapema. Maelezo mengine hayana tija kabisa.
 
Mtu anaandika story anaweka Alama za koma funga na fungua semi paragraph.. hakuna story hyo Ni copy & paste

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wasimulizi wanaotafuta attentions za watu....ndio kama nyie...haya story yako uje uimalizie Kesho

Au unajazia uongo tuone jinsi fisi alivyo muongopea sungura

Mmerogwa na nan?
Wewe hujalazimishwa kuifuatilia hii story. Nitafute attentions? then for what?! Nitafute attentions kwa watu wasionijua? Kweli JF hii ni kokoro linalozoa kila ana ya watu.

Niliwambia hapa kuwa mimi pamoja na kuandika hapa niko nabanwa na majukumu ya kifamilia. Thus, I can't keep on typing here whilist, some other crusial responsibilities dinied pending. Unaona huna ustahimilivu, quit the post. You are not compiled to be here by anybody. Poor girl!
 
Huna haja ya kujibizana boss, nilikwambia usitolewe kwenye reli
 
Back
Top Bottom