Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Kuna baadhi ya watu wanaudhi sana hapa JF. Kumbe ndio maana watu wanaishia katikati ya story zao wanakimbia. Unakuta ka mtu kanakula ugali wa kuletewa kanashiba kanakosa sehemu ya kupumulia kanakuja kupumulia hewa hapa.
Mie sijasoma story yako,niliona hii thread nikaipotezea,lakini kila nikiingia JF naikuta kwenye trending. Leo nimefungua ndio nikajua ni simulizi moja kwa moja nikaja page ya mwisho kujua kama umepost yote au ndio mambo ya vipande. Wasiwasi wangu umekuwa kweli,naona tayari unagombana na watu. Kwanini msiandike simulizi zenu zitimie ndio mpost humu? Kila siku ugomvi ni huu huu. Mie binafsi sitasoma hata nukta moja.
 

I like your English
 
Kuna baadhi ya watu wanaudhi sana hapa JF. Kumbe ndio maana watu wanaishia katikati ya story zao wanakimbia. Unakuta ka mtu kanakula ugali wa kuletewa kanashiba kanakosa sehemu ya kupumulia kanakuja kupumulia hewa hapa.

You must learn to accept challenges, some not all are of help to you in case you plan to be a good author/ storyteller
 
Wasimulizi wanaotafuta attentions za watu....ndio kama nyie...haya story yako uje uimalizie Kesho

Au unajazia uongo tuone jinsi fisi alivyo muongopea sungura

Mmerogwa
Mtu ameleta uzi kwa mapenzi yake mwenyewe, vipi unataka kumforce, aache kazi zake aandike kwa kukufurahisha wewe! Unataka soma hutaki kasome nyuzi zingine kwani tunamlipa? Jifunze kumpa mtu uhuru.
 
Technology imepunguza ujambazi hata wakiwavamia hata shilingi laki tatu hawapati pesa zipo kwenye simu au bank wakipora simu wamejikamatisha wenyewe.
Majambazi wengi sana wanalia sana njaa siku hizi
 
Asa Mimi kosa Langu nini? mpaka uniseme kingereza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…