Hata Mimi sitasahau siku Nape aliposema Magufuli ni MSHAMBA!!Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
Kwa hyo baba aliyekuzaa awekwe kundi lipi mkuu?Ujue usimwamini mtu zaidi ya mama yako aliyekuzaa.
Lisu aliwaita kule kwa maria space kwamba ni wapumbavu kwakuwa mnasahau jk ambae yuko hai aliwaua hadi kwa mabomu ila mmekazana na mtu aliekufa kana kwamba mateso mmeanza nayo kwa Magu na sasa yameisha.Lile jamaa lilikuwa liuwaji lazima Nape awe vile.
Kwa hiyo ni mlevi mwenzako??Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
too lowNape ana unafiki wa kichadema chadema kama Lema!
Ufipa ni wapumbavu kwelikweliLisu aliwaita kule kwa maria space kwamba ni wapumbavu kwakuwa mnasahau jk ambae yuko hai aliwaua hadi kwa mabomu ila mmekazana na mtu aliekufa kana kwamba mateso mmeanza nayo kwa Magu na sasa yameisha.