Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.

Bora walifanya hivyo maana Nape ni mnafiki angekataa kuwa hajawahi kuomba msamahaDuh! binadamu bwana, yani tunapenda kutukuzwa kumbe tumebakiza muda mfupi hapa duniani....sasa magufuli angejua kuwa amebakiza miezi kadhaa afe angekubali kumhenyesha Nape kwa miguu kuanzia kule getini hadi mjengoni?
Kulikuwa na sababu gani ya kuvujisha hiyo video ya NAPE? najua recording ni lazima eneo hilo lakini je kulikuwa na ulazima wa kuvujisha hiyo video?
Hakuna kama Magufuli kwenye uuwaji hapa Tanzania.jk ambae yuko hai aliwaua hadi kwa mabomu
Ndio maana Lisu akawaita nyie ni wapumbavu.Hakuna kama Magufuli kwenye uuwaji hapa Tanzania.
Umekuwa ukitumia muda mwingi kumshambulia Jemadari Lissu hapa jukwaani iweje leo umnukuu.. shwain kabisa.Ukiona mtu amepanic namna hii badala ya kujibu hoja ujue kisu kimegonga mfupa!
Twendelee, 2025 siyo mbali
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
Usiamini haya matapeli ya kisiasa mkuuKweli kabisa mkuu
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
Usi mwamini mtu labda muumba wako