Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.
Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.
SengayNape ana unafiki wa kichadema chadema kama Lema!
Kilichokuchekesha hapo ni nin?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena Nape ndiye aliyeboresha kutoka BUKU TANO mpaka BUKU SABA!Mwenzako analia kivulini, wewe unasota na buku saba hadi LUMUMBA wakuonee huruma
Ulitaka afanye nini? alikuwa hana pa kutokea, nchi zetu zilizojaa udikteta wa kifala na uhuru fake wanaweza kukufanya chochote hata kukuuaMijitu minafiki mimi huwa siikubali ata siku moja. Shenzi zake huyo nape. Linafiki kweli kweli.
EheeIle ya kumwita Nape akaombe msamaha ilipangwa maana mzee baba alikua na safari jimbo la Nape kule mtama ambako pamoja na kumsamehe Nape kwenye macho ya watu wazee walimpelekea moshi mpaka akaacha kuhutubia pale alieomba msamaha sio Nape...
Ahahahahahahah! Yaani wewe Mbatizaji unatafuta migogoro na watu kirejareja kweri kweri! Ahahahahaja!!Nape ana unafiki wa kichadema chadema kama Lema!