Sitasahau siku ambayo nimekutana na Rais Putin ikulu ya Kremlin

Sitasahau siku ambayo nimekutana na Rais Putin ikulu ya Kremlin

Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo basi sio case as long as nimefanikiwa kutimiza ndoto yangu"jokes"

Nilianza kuitwa kwa jina langu la bwana Ngengemkeni Kwilasa basi bwana kelele pale Kremlin zilipigwa balaa na wala sikujui sababu ipi zile kelele kwanini zilipigwa ila nikahisi kwasababu mimi ni shemeji yao au kwanini bwana JamiiForums mimi nimeoa mzungu wa huku Russia na nimeoa kwasababu wakati niko chuo kikuu nilikuwa na akili balaa na pia nimesoma na mtoto wa Putin huku Russia na nilipewa mke kutokana na GPA zangu mpaka wa Russia wakati mke Dr. Marian Zincheko mzaliwa wa Petersburg Russia

Basi bwana,nikaitwa mbele ya Rais puttin nikavalishwa Nishai na kupewa kiasi cha dola 150000 kwa mafanikio yangu ya ku produce one of the best student katika chuo cha kursk university katika somo langu la pharmacology na some lingine la microbiology so vyuo Vingi vimenitaka dunia ikiwemo cha zenith university,ivano University, Cairo American University in Egypt Capetown University,Watford University,synergy University na vyuo vingine ulaya.
Ukavalishwa NISHAI sio NISHANI?
 
Kupata vichekesho kama hivi ndugu mteja zidisha kuongeza salio.
Nilimsikia Bibi mmoja akiongea na simu anamlalamikia kijana ambae alimpa kazi alafu kijana akawa analeta pigo za kuchagua kazi akamuuliza Kuna siku uliwahi kuzawadiwa pesa ya bure kutoka mtandao wa simu au kupewa kifurushi cha bure tangu uwahi kutumia bando? Jamaa akasema hajawahi

Ila Mimi nimewahi tena ilikua siku ya promotion ya halotel unapewa kiasi unachoweka yaan ukiweka 1000 wanakupa 1000 jaza ujazwe
 
Man down. Waambie unarudi kuishi Tanzania ndo utajua
 
Mimi nilijua Dr Shika amekufa kumbe bado yupo hai🤣🤣
Inawezekana kafa ila wenye tatizo kama lake ni wengi akiwemo walioamwamini sana humu na wengine wakajifanya wako russia wanafuatilia story yake.
 
Back
Top Bottom