Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Id yangu kongwe ni ipi mkuu
 
Mkuu mbona kama unataka kaburi la yule mungu lifukuliwe liongezewe marefu na mapana asije akafufuka kesho
😂😂😂 ameshaoza yule msukuma mshamba
 
Umesahau badala ya kuzungumzia hilo tanuru ulilopitia umeweka vitu too general...Mama ana fanya kazi yake kama rais msijaribu kumlinganisha na waliopita.approach anayoifuata ni ile anayoamini itamfikisha anapotaka na matokeo tutayaona...hizi ni tawala mbili tofauti lqkini zote ni katika kutekeleza ilani ya CCM...
 
Kutokutosha kwa mshahara ndio kigezo cha kuwanyima haki zao?
Ni nyinyi kada ya ualimu tu ndio mnaolalamika mishaara na upuuzi mwingine mara sijui hatujapewa t shirt,tumepewa ubwabwa kidogo bila maji
 
We ni nani ?hahhaha ila we unachekesha kwaiyo kinda umeumbwa kwa mfanonwa mungu basi we mungu?
Soma vizuri dogo!! ukinifuatlia kwa kurupuka hivi huta nielewa kamwe nakwambia!! mie sikutokana na mungu wako unasikia?? ila nakushauri unisome kwa utulivu sana na kwa uelewa!

vinginevyo uta changanyikiwa sana!! kamwe! hutanielewa km kilivyo kizazi cha Nyoka!
 
Vipi hali hapo ulipo? Tanuru limepoa? Tozo Hoyee umeme safiiii mafuta hoyeee
 
Unapinga kwa hoja dhaifu sana
 
Lakini mwishowe ukweli unabaki pale pale kwamba, JPM alikuwa ni Rais mwenye uwezo wa pekee sana, mzalendo na imara kama Chuma.
 
Lakini mwishowe ukweli unabaki pale pale kwamba, JPM alikuwa ni Rais mwenye uwezo wa pekee sana, mzalendo na imara kama Chuma.
Imara kwenye misimamo yake ya kishamba, uwezo wa kipekee wa kikatili na mzalendo uchwara
 
Kiufupi kama ulikuwa kwenye Kazi ambazo hazina marupurupu na posho lazima uwe uliuona moto maana Mwendazake hapana aisee..

Mwendazake alikuwa anajua kutumia pesa ila kutafuta au kuweka mazingira ya kuzalisha pesa ndio mtihani.
Mwenye magufuli alikuwa mwizi kama wezi wengine wa kodi yetu. Hakuwa na tofauti na wezi wengine tofauti ilikuwa ni mwizi aliyejipa kinga!
 
Naona unachukulia maendeleo ya nchi yanatokana na mishahara minono ya watumishi! UJINGA NI MZIGO, fikra mgando ni janga !
 
Sekta binafsi hii nchi imesahaulika sana tena watumishi wa umma mna wigo mpana sana wa kutoboa sijui mnafeli wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…