Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,471
- 2,891
Mkuu uko nje ya point kabisa. Nafikiri ni kwa sababu ya mahaba uliyo nayo kwa JPM. Hoja ya mleta mada ni kwamba haki ya ongezeko la mshahara ni ya kisheria. Na wakati wa JPM hili haikutokea kwa muda wake wote. Sasa bila kujenga hoja nyingine yoyote ile, hili liko wazi wala halihitaji ubishi.
Ungesema tu ule uwanja ulikuuma haya mengine yote ni ngojera.
ww unalalamika kutokupandishwa mshahara, kuna watu private sector walipunguziwa mishahara 25-40% for 1yr during covid na wengine walipoteza kazi kabisa ww unalia lia kutoongezewa salary while uliendelea kupata mshahara na you kept your job during covid.
Kweli shukrani ya punda ni mateke.