Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Mkuu bado upo kwenye ajira? Labda tuanzie hapo kwanza, and Jee increment ulopewa imeleta impact kiasi gani kwenue maisha yako.
Mkuu wewe ni mbinafsi sana voz unasngalia upandishiwe mshahara wako ila kumbuka asilomia kibwa ya watanzania ni maskini wasio na kazi hao nao maisha yao wanasaidiwa na nani.
Utawala wa mwendazake ulijikita katika kuweka mazingira mazuri kwanza kwa kila mtanzania aweze kujiingizia kipato chake kirahisi lakibi atimize pia wajibu wake kulipa kodi.
Mtazamo wa mwenda zake ulikuwa ndo mtazamo walioanza nao china, angalia china walipo sasa. China walifsnya kazi kwa nguvu na hadi kufikia masaa zaidi ya 10 na wengi walifia kwenye mashine sababu ya kuchoka
Leo dunia nzima inafurahia kila aina ya bidhaa kutoka china sababu walijengewa utamaduni wa kufanya kazi bila kuchoka.
Ndugu yangu mm nimeanza kazi enzi ya kikwete nlikuwa kijana mdogo tu 20+ na sasa nimekuwa mbaba . Hakuna kipindi nlifanya kazi kwa bidii na kwa umahiri wangu wote na kwa uzalendo kama kipindi cha JPM sababu alikuja na mtazamo niliokuwa naota kabla hajawa rais. Kwangu mimi magufuli atakuwa rais wa maisha yangu yote sababu bado naishi kwenye ndoto zake hadi sasa. Na nitaendelea kuwa hivo mpaka nife.