nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Kuwa kiongozi wa mapepoHivi ni kazi gani aliomba kwenda kufanya kule kuzimu[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa kiongozi wa mapepoHivi ni kazi gani aliomba kwenda kufanya kule kuzimu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa shetani kwenye mwili wa binadamuAlitumbua sana kwa mbwembwe!! Kuuuumbe hakujua kuna mtumbuaji Mkuu!! akamtumbua Mazimaaa! tena bila ubishi maskini jiwe hakujua Marais wooote Duniani, huwekwa na Mungu!
kilichompasa kufanya ilikuwa ni kutawala kwa haki....sasa yeye Mamake Kabendera kamlilia Mwanawe weee!! aachiwe lile jamaa likatia ngumu ndo Rais yakamkuta ya COVID, yule mama angekubaliwa ombi lake la kumuachia mwanae
Jiwe angekuwa Rais mpaka leo lkn Mama alilia vibaya sana!!...chozi la Mnyonge likafanya kazi......MJIFUNZEGE HAPA WANA JF, ndo maana tuko humu!! ukiwa rais tenda haki km Kikwete! Uone utakavyo heshimiwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna roho ngumuYa JPM yasahau tu Mkuu. Ndio maana alitumbuliwa akapangiwe kazi nyingine.!
PUMBAMkuu bado upo kwenye ajira? Labda tuanzie hapo kwanza, and Jee increment ulopewa imeleta impact kiasi gani kwenue maisha yako.
Mkuu wewe ni mbinafsi sana voz unasngalia upandishiwe mshahara wako ila kumbuka asilomia kibwa ya watanzania ni maskini wasio na kazi hao nao maisha yao wanasaidiwa na nani.
Utawala wa mwendazake ulijikita katika kuweka mazingira mazuri kwanza kwa kila mtanzania aweze kujiingizia kipato chake kirahisi lakibi atimize pia wajibu wake kulipa kodi.
Mtazamo wa mwenda zake ulikuwa ndo mtazamo walioanza nao china, angalia china walipo sasa. China walifsnya kazi kwa nguvu na hadi kufikia masaa zaidi ya 10 na wengi walifia kwenye mashine sababu ya kuchoka
Leo dunia nzima inafurahia kila aina ya bidhaa kutoka china sababu walijengewa utamaduni wa kufanya kazi bila kuchoka.
Ndugu yangu mm nimeanza kazi enzi ya kikwete nlikuwa kijana mdogo tu 20+ na sasa nimekuwa mbaba . Hakuna kipindi nlifanya kazi kwa bidii na kwa umahiri wangu wote na kwa uzalendo kama kipindi cha JPM sababu alikuja na mtazamo niliokuwa naota kabla hajawa rais. Kwangu mimi magufuli atakuwa rais wa maisha yangu yote sababu bado naishi kwenye ndoto zake hadi sasa. Na nitaendelea kuwa hivo mpaka nife.
Kwani mfumuko WA BEI umesababishwa na Samia ? Mbona mnakuwa na vichwa vikubwa lakini akili hamna ?Japo Magufuli hakuongeza mishahara lakini pia hapakuwepo na huu mfumuko wa bei uliopo sasa, kwa kifupi Magufuli na Samia hawana tofauti kwenye hili la kuinua hali ya wafanyakazi.
kama wewe ni mtumishi wa umma, basi serikali imepata hasara kukuajiri. uandishi wako ni wa kiwango duni sana, haueleweki.Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.
Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.
Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.
Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.
Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.
Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.
Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Ni kiongozi mkuu wa malaika sasa hivi kwa taarifa nilizo naz!Hivi ni kazi gani aliomba kwenda kufanya kule kuzimu😂😂😂
Hakuna mtumishi wa Serikali atakayepata nyongeza ya 23%Habari,

Meko alikuwa ni mjinga Sana , imagine Ile Tabia yake ya kutembea na kugawa maburungutu ya fedha as if hizo pesa anatoa mfukoni mwake , halafu lilivyokuwa na roho mbaya na kukosa akili , likawa linataka liwatumie wafungwa kwenye tenda za serikali ,yaani hata basic understanding ya economy halina , makampuni mengi ya ujenzi yalikufa Kwa sababu ya ulofa WA huyo bwege na sekta nyingine nyingi Tu makampuni mengi yaliyoajiri watu wengi yalifunga vilago , likakopa pesa nyingi halafu linajimwambafai na kuwadanganya mazoba ,"Tunatumia pesa za ndani " na mazoba yakakubali na kukenua Meno ,too bad Hilo likofuli likatumia pesa za Uma kuhonga na kununua Malaya WA kisiasa toka upinzani na kuharibu uchaguzi mkuu .Likaua demorasia na Uhuru wa habari na kujieleza , likabambikizia wapinzani kesi ,likatengeneza vikosi vya mauaji , likaua watu na kutesa na kufilisi watu mali zao Kwa kesi za kubumba na vitisho .Kiufupi kama ulikuwa kwenye Kazi ambazo hazina marupurupu na posho lazima uwe uliuona moto maana Mwendazake hapana aisee..
Mwendazake alikuwa anajua kutumia pesa ila kutafuta au kuweka mazingira ya kuzalisha pesa ndio mtihani.
Mzilankende Anawa~Zoom Tu Sasa Hivi Akiwa Na MalaikaHivi ni kazi gani aliomba kwenda kufanya kule kuzimu😂😂😂
😆😁😄😃😀Hakuna mtumishi wa Serikali atakayepata nyongeza ya 23%
Mikataba yenu inasemaje kwani ? Mie si mtumishi wa umma, lakini katika mkataba wangu kumeainishwa kiwango cha uongezekaji wa mshahara. Sasa bado najiuliza aliwazaje Magufuli aliyoyafanya na vipi watu wanaweza kujipanga yasijirudie tena huko mbele ya safari.Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.
Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.
Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.
Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.
Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.
Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.
Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Unaongezewa elfu 1000 alafu unapandishiwa bidhaa kwa sh elf 5 huo ni utahira na upumbavuBora huo utaahira wa hivyo kuliko wa Mungu wenu alioufanya kuwanyima haki zao watu.
Wewe ni lipumbavu na lichawa na tunakujua!Huoni kwamba wewe ndio taahira maana unaongea upumbavu ambao ubongo wako unakutuma..
Unaweza kuthibitisha jinsi gharama za maisha zimeongezeka kwa 60%?
Mbona Bei za umeme ziko pale pale,Kodi za nyumba ziko pale pale na vyakula Bei zake zina ongezeko dogo..
Acha upumbavu bana!..Huyu mwendazake angekuwepo hali ingekuwa mbaya zaidi kwani mishahara asingeongeza wakati huo hii inflation asingezuia chochote.
Vyakula na bidhaa nyingine vimepanda sababu ya ukame na vita ambapo magufuli asingekua na chakufanya.
Kimsingi ndio pale unaona Mungu alikuwa na kusudi lake.
Utaahira ni huu ulioandika hapa,Unaongezewa elfu 1000 alafu unapandishiwa bidhaa kwa sh elf 5 huo ni utahira na upumbavu
Acha uzwazwa dogo, ukiacha sukari iliyopanda toka 1800 mpka 2500 twambie ni kitu gani kingine kilipanda bei?Utaahira ni huu ulioandika hapa,
Hivi miaka 6 vitu havikupanda Bei?
Alikua anafuata Sheria au ubabe kutokupandisha mishahara Wala kutoa nyongeza?
Angelikuwepo Hadi Leo watumishi wangeambiwa Kuna vita wasubrie viishe angeongeza kwerikweri[emoji23][emoji23]