Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Japo Magufuli hakuongeza mishahara lakini pia hapakuwepo na huu mfumuko wa bei uliopo sasa, kwa kifupi Magufuli na Samia hawana tofauti kwenye hili la kuinua hali ya wafanyakazi.
Kwa hiyo mfumuko wa bei uliotokea Marekani umesababishwa na utawala wa mama Samia Suluhu Hassan? Inflation ni tatizo lililoikummba dunia (fuatilia). Yule mzee alikuwa ni katili sana! Hakufaa kwa lolote,

Jesus is Savior
 
Naona mapovu ya njaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]..

Kuwa chawa ni raha Sana hasa Chawa wa Mama..

Taahira wewe ulizoea vya bure piga kazi fala wewe.
Mume wa dadako anakunulia chakula hapo unapoishi sasa utajuaje uchungu wa wenye majukumu!

Toka hapo kwa shemeji alafu utajionea kama huyo rais wako hamna kitu
 
Nchi hii itaendelea kuwa maskini tu kama hatuoni hat mchango wa JPM
 
Tulitaka kuwa na raisi Magufuli kwa miaka kama 20 hivi inchi iendelee

USSR
Ninakubaliana na wewe.
Nimepita mitaa fulani nikakuta ile mifuko myeusi ya plastic imerudi tena.

Huwa ninajiuliza waafrika tumemkosea nini muumba mpaka akatuumba hivi ninakosa majibu
 
Nchi hii itaendelea kuwa maskini tu kama hatuoni hat mchango wa JPM
Hii itaendelea kuwa maskini kama tutaona heti JPM alikuwa na mchango wowote kwa hili taifa
 
Habari,

Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.

Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.

Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.

Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.

Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.

Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.

Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.

Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Vp kwani aliyekupitisha kwenye tanuri alikuwa CHAMA Cha upinzani?

Aliyepo hakuwa sehemu ya Serikali ilokupitisha kwenye tanuri?

Kupanda kwako madaraja kumepunguza ugumu wa maisha Yako Kwa kiasi Gani?

Kipande Cha sabuni ya mche kilikuwa kinauzwa sh 300, saiz 800,

Mafuta kupikia Lita 5 yalikuwa 16,000 saiz yanauzwa 37,000.

Petrol ilikuwa inauzwa 1000 Lita saiz 3500.

We ni KIPOFU unayejiaminisha ya kuwa UNAONA.
 
Bora huo utaahira wa hivyo kuliko wa Mungu wenu alioufanya kuwanyima haki zao watu.
Hakuna maendeleo yanayokuja ukiwa umeinua miguu juu,umekunja nne,with three women's around you and both need your cash,na bia za kuhonga juu ya meza ,....and..enjoying life near the beach ....Kila maendeleo lazima yalipitia moto,...after all jpm alisema kile kilikuwa kipindi Cha mpito na hata kama angeendelea kuwa hai naamini lilo nalo lingeta....tatizo tz mnapenda makelele na starehe hamtaki kupitia kwenye moto Ili mtoke kama thahabu,mnaachoona nyie
Ni kuingiziwa pesa yenu after every moth na kupiga mayowe kupandishiwa salary,polygamy families in our homes,hanging out with beautiful babe,buying new cars for show off every one to see u,nakutembelea abroad with selfies and snap pic in Instagram for look at me pics..and hidden etc..unategenea nchi hii itaendelea sahau.....na maendeleo myayaskia redion...bye....
 
Tanzania nzima magufuli anapendwa na sakuma gang tu
Kumbe sukuma gang ni wengi kiasi hiki?

Maana huku mtaani ni balaa! Muulize hata mumeo atakwambia Magu ni chuma,

Basi nae kumbe ni sukuma gang
 
Habari,

Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.

Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.

Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.

Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.

Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.

Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.

Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.

Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Walifanya kazi quantity na si quality. Ha ha haaaaaa kwe kwe kwe kweeeeee. Jamaa ulikuwa group la vyeti fake nini?
 
Kama ni hivi, taifa linawafanya kazi wajinga na wasiojielewa, huwezi furahia ongezeko LA mshahara halafu usilie juu ya mfumko wa bei!
 
Sasa hivi umeongezewa kamshahara kwa 23% alafu gharam za maisha zimepanda kwa 60% na umewekewa na matozo juu kisha unashangilia! Huo ni utahira.
Fala kweli huyu,kapewa kijiko cha asali huku akiibiwa chupa ya asali
 
Mume wa dadako anakunulia chakula hapo unapoishi sasa utajuaje uchungu wa wenye majukumu!

Toka hapo kwa shemeji alafu utajionea kama huyo rais wako hamna kitu
Kwa hiyo ana nipa chakula,pocket money,bando nk nk..

Njaa mbaya sana 😬😬😬😬
 
Sasa hivi umeongezewa kamshahara kwa 23% alafu gharam za maisha zimepanda kwa 60% na umewekewa na matozo juu kisha unashangilia! Huo ni utahira.
We pimbi, kwani pamoja na Magufuli kutoongeza mishahara inflation haikutokea? kwani wakati anaingia madarakani alikuta sukari inauzwa sh.ngapi na akiwa madarakani ikawa inauzwa sh.ngapi? aliyependekeza kodi ya nyumba kupitia luku hakuwa Jiwe? Shenzy type.
 
Naona wengi wanajaribu kumzodoa mleta mada ila ukweli ni huu;
Kupanda kwa gharama za maisha kwa kiasi fulani kumechangiwa na external forces especially on going crisis between Rusia and Ukraine. Hata hivyo, kama hizi external forces zingetokea kipindi cha Magufuli bado gharama za maisha zingebaki kuwa juu na hakuna mtumishi angeongezewa hata 0% ya mshahara.

Mwisho kabisa, tuache kumlinganisha rais Samia na vitu vya ajabu ajabu.
 
Ungesema tu ule uwanja ulikuuma haya mengine yote ni ngojera.
ww unalalamika kutokupandishwa mshahara, kuna watu private sector walipunguziwa mishahara 25-40% for 1yr during covid na wengine walipoteza kazi kabisa ww unalia lia kutoongezewa salary while uliendelea kupata mshahara na you kept your job during covid.
Kweli shukrani ya punda ni mateke.
Mkubwa. Haya ndio Yale majitu mavivu kufanya kazi mpaka yasukumwe. Kazi hayawezi mishahara mikubwa yanataka.

Nchi hii kipindi cha Magufuli ilinyooka sana Uwajibikaji ulikua unaonekana. Kila sekta ya Uma. Mishahara walilipwa kwa wakati tena kabla hata ya tarehe 30 lakini ndio hivyo shukrani ya punda ni mateke.
 
Back
Top Bottom