Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Ahahahaha
Mungu alimtumbua yule mwehu
Mkorinto akisikia hivi anatamania ajifie tu!! amfuate Baba yake huko kuzimu!...hataki kutubu sijui kwa nini?? wafuasi wa jiwe wote wana kiburiiiiii!! .....hapo wanasubiri urudi Tanzania wakunyonge kimya kimya!
 
Mkorinto akisikia hivi anatamania ajifie tu!! amfuate Baba yake huko kuzimu!...hataki kutubu sijui kwa nini?? wafuasi wa jiwe wote wana kiburiiiiii!! .....hapo wanasubiri urudi Tanzania wakunyonge kimya kimya!
Jiwe aliwaharibu sana akili Hawa watu
 
la unaweza kuomba toba kwa mfuasi wa nani!!
Mbona jibu lake rahisi tu hili au una mihasira ya kijiwe jiwe!! hujui toba inapatikana wapi??? inadhihirisha wewe ni kizazi cha nyoka hasa!!
anunulia simi mademj zake ndicho kinakuuma??
Sawa kabisa una akili Kwa hiyo unatudhihirishia Rais wako huyo alikwenda Ikulu kufanya U-CD?....hasira zitawafanya mseme mengi sana tusiyo yajua.........
zingatia kauli ya kwanza,jiwe yuko kuzimu aj kaburini?tatizo unasahau sana,
Ndo unaaminisha JF kuwa kweli wewe ni kizazi cha Nyoka! hata neno hulijui....Mwili wake na nafsi yake ndo viko kaburini, Roho yake iko kuzimu kwa shetani!...sasa nikuulize mtu akifungwa gerezani je huwa tuna funga roho???
kamghalimu wapi,maana unayepiga yowe mpala sasa ni weww sio yeye.na kufa utakufa tu kama yeye,you see.
Maweee!! mie sipigi kelele bali nawaelimisha bure nyie waovu mlio baki ili mtubu! muwe salama, hamtaki!! mwee!!....mie sifi hovyo!! na wala sifi ila nita twaliwa kwenda alipo Enock! na woote mtajua haya!..ila weye ambae hutatubu utaona nimekufa!
 
na siku utakayomjua,utajisikitikia sana kwa hasara ulizopata kipindi chote humjui.
Weee!! hako kamungu kako na jiwe ...njaa kali nisikajue kweli?? jana jioni nimekaona kanazurula- kakaishia kula vihepe palee kawe Bondeni kananijua fika hakaniwezi hako ka mungu kako kamechokaa!

ka kaambie kabisa kuwa kuna kadada flani hivi kakorofi hakakupendi nitakachapa tu! mpaka kakome!! huyo wala simuitii Malaika aje kunisaidia waaa la!!

atachofanya atakuja kukuonyesha alama za bakora mtajuta! nakuona sifai! si unae hapo mtume aje uone moto wa GAS!!...Yaani nahisi mpaka sasa kanatetemeka!

katakulaumu sana kwa kitendo cha kukatuma kwangu tena kanaweza kukuua kwa hasira za kuka sakizia!...ukifanya masihara atakusukuma wewe! nawaonya '''mie sijaribiwi!!'' bila shaka unaikumbuka hii kauli sasa itawarudi!
 
HUNA maajabu yeyote.....kama we mungu mtu kumwesabia MWENZAKO hiki na kile....kama binadamu uliyeumbwa kwa damu na nyama jiesabie you are too weak.kwadababu ujui kesho Yako wale Leo Yako ,omba tu uruma ya mungu na sio ...kinywa chako kitamke mabaya juu ya wenzako ....utafikili mlikuwepo wote kwenye meza za mazungumzo wakati wakipanga iyo mikakati ya maovu...kama uliambiwa tu na hukushuhudia chochote zaidi ya kuanbiwa na siasa za chuki basi HUNA jipya....
 
Wakati wa HayatiJPM sembe ilikuwa 17,000/= kwa Sasa ni 38,000/=. Nyongeza ya mshahara ya 23.3% will gain its meaning if inflation rate controlled to the maximum(itakuwa na maana Kama mfuko wa bei utadhitiwa).
 
Umeanza vema ila pale chini umemaliza hovyo eti Mungu aibariki ccm! Inamaana hujui ccm ndio imeleta mateso yote hayo kwa kumuacha mtu mmoja afanye atakavyo
 
Mie ni Mungu kwa sababu nimeumbwa kwa mfano wake!! Hoja yako ni dhaifu sana hii mkuu!! Jiwe alitamka hukumu ya kifodhidi ya Lisu! wazi wazi tena in Public kuwa ''Lisu! asi survive!! ''kwa sababu ni Msaliti,

Usaliti gani ndani ya nchi?? sasa anajua yeye huyooo mfu!na wafuasi wake lkn upinzani wa kujenga nchi siyo usaliti kwa mujibu wa Katiba yetu! waliyoitengeneza wao na sisi wenyewe yeye wkt huo akiwa Mbunge!

Rais gani Muoga,dhaifu,mkurupukaji aliogopa kupingwa??? yeye nani?? Kama Mungu Mkuu anapingwa tangu zama mpaka leo hii!! tena basi hata humu humu JF, (Kiranga) anapingwa wazi wazi sasa umeona amewaua wapinzani wake??

Sasa km amefanya kinyume na Mungu utasema yule alitokana na Mungu?? jibu unalo hizo ni akili za kawaida tu siyo mpaka uende Makelel kusomea!
 
Lakini angalau haki yangu nimeiona nitaendelea na mengine sio kunipa haki yangu ili kitu likajenge uwanja wa ndege usio na manufaa
Una uwezo mdogo wa kufikiri. Hebu rudi kwenye aya ya kwanza uangalie ulichoandika.

Alafu umepitiaje tanuru la moto wakati Mchele uliunzwa 1, 400
Unga 1, 000/=
Mafuta lita 5,000/=
Sabuni mche 2,000/=
Nk

Watumishi wengi wa umma hasa walimu wana uwezo mdogo wa kuchambua na kupambanua mambo
 
ongea polepole, waandika legacy wakikusikia maana wapo chepter hiyo hiyo namna wafanyakazi wa umma walivyonufaika wakati wa utawala wake.
 
We ni nani ?hahhaha ila we unachekesha kwaiyo kinda umeumbwa kwa mfanonwa mungu basi we mungu?
 
Kwenye iyo bibli Yako ndo inasema ivyoo?ukiumbwa kwa mfano wa mungu basi wewe ni mungu?....khaaa embu mwogope basi mungu
 
Nan anapokea mshahara ktk cmu we nguchiro????kubali tu shujaa wenu uchwara ameshasema na hatorudi tena
Sasa hivi umeongezewa kamshahara kwa 23% halafu gharama za maisha zimepanda kwa 60% na umewekewa na matozo juu kisha unashangilia! Huo ni utahira.
 
Wewe uliyekuwa na ajira unasema usikumbushwe machungu na je ambao hawakuwa na ajira je?ukikaa kutegemea mshaara utakuwa na ulemavu wa akili siku zote mshaara haujawahi kutosha...
Walimu mnatuchosha sana
Kutokutosha kwa mshahara ndio kigezo cha kuwanyima haki zao?
 
Mleta mada anawaza tumbo tu.

Hujali kabisa namna tunavyopigwa mnada kwa kasi ya umeme.

Yaani wewe ukipata uhakika wa kula hata ukiuzwa hutajali.
Trumbo kwanza lkn nilichoandika hapa ni hoja , jalili usinitukane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…