moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina mkuuMwambie vijana wake tunamtakia Aishi miaka mingi zaidi
Aisee, nimekumbuka mbali sana!
...yupo anky yangu mmoja alikuwa na hiyo kitu sasa ilikuwa kila wikiend naenda kumsaidia kukaa mlangoni kukusanya hela za kiingilio ili kuangalia mikanda ya Van Dame, Bruce Lee, Rambo, Anold, snake master n.k!
Alikuwa ananipa mtonyo kila jumapili jioni, so nikienda shule j3 naonekana bonge la Don!
...vitoto vizuri vizuri, nilikuwa nikivinunulia peremende, basi ikifika jioni kwenye vichaka navikandamizia huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nifumwe siku moja na mtoto wa mwl mkuu...[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]Daah sitosahau lakini huyo mtoto alivyokuwa mkali kila nikikutana nae tunapasha kiporo!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahahaa, kama ulikuwepo vilemkikaa mnanyoosha miguu, ukianza kujifanya rufufu au mkandara aisee unashangaa imewekwa pause unaambiwa endelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee atakuwa alikuwa fisadi nyerere angejua angefunguliwa kesi ya MLKwa kumbukumbu zangu. Tv au screen za mwaka 1989 zilikuwa na remote ya waya. Kwa maana remote ina waya. iliyounganishwa na tv au screen kama jamaa anavyosema.
Zilikuwa zinaitwa svreen kwa kuwa zilionyesha mikanda tu. Hakukuwa na tv.
Hizo screen au tv na deki zake zilikuwa zinasajiliwa na kulipiwa kodi kila mwaka. Zilikuwa na kadi kama yalivyo magari.
Ziliposambaa kukawa na mfumuko maduka ya kukodisha kanda. Unajiandikisha kila ukiazima kanda vhs unalipa. Hakukuwa na cd wala flsh wakati huo.
Majumba ya sinema yakafa.
Tv ya kwanza ilianza kuonekana dsm mwaka 1993. DTV. Baadaye ndio ITV ikaanzishwa 1995.
Miaka hiyo 1985 mpka 1990 ubalozi wa marekani ulikuwa unapeleka udsm kuinyesha taarifa za habari za ABC tv ya kwao iliyorekodiwa. CNN ilianzishwa mwaka 1985
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo jamaa alijitia ujuaji wacha mzee Baharia amuwashe bonge la kofi.
Msalimie sanaHongereni kwa uzalendo, mzee bado yupo hai anapiga mazoezi balaa na anasema TV yake ni bora zaidi ya hizi flat za sikuhizi
hahahahaaa1989 nipo Iringa Mzee anamiliki radio cassette yenye spika mbili. Radio inalala chumbani kwa baba. Asubuhi mnasikia tu ile kumi na mbili kipindi cha Majira radio Tanzania anasikiliza. Mnasepa shule. Mkirudi ndo unakuta baba na mama hawapo natoa kanda zangu Za Bob Marley nasikiliza one hour later kwenye kumi na nusu anakuwa asharudi kanda zote nazikimbiza chumbani. Sasa anapiga msosi anaenda piga mbonji Kama one hour. Kumi na mbili kasoro anaamka anaoga, ile kumi na mbili kamili yupo sebuleni wakati ule Radio Deusch Welle au idhaa ya kiswahili ya ujerumani inaanza matangazo. Akina Umr kheir, Ramadhan Ally na wengineo. Ikifika saa kumi na mbili na nusu tunahamia BBC London akina Suluma Kassim, Tido mhando, Ally Saleh na wengineo. Yaani ni full habari. ITV imekuja nikiwa Songea 1995 Mzee wetu Mengi aliweka kila mkoa TV kubwa Kama dirisha hivi lkn sio chogo. Itv inafunguliwa saa kumi basi Watu pande zote Za mji mnaenda kuangalia taarifa ya habari.
Sio fisadi mkuu alikuwa shirika 1 lisilo la umma na mpaka sasa anampenda sana Magu na NyerereHuyu mzee atakuwa alikuwa fisadi nyerere angejua angefunguliwa kesi ya ML
Zimefika mkuu
Nakumbuka had I TV tulizipa jina ITV.. Mnaulizana nyie kwenu mnaITV?1989 nipo Iringa Mzee anamiliki radio cassette yenye spika mbili. Radio inalala chumbani kwa baba. Asubuhi mnasikia tu ile kumi na mbili kipindi cha Majira radio Tanzania anasikiliza. Mnasepa shule. Mkirudi ndo unakuta baba na mama hawapo natoa kanda zangu Za Bob Marley nasikiliza one hour later kwenye kumi na nusu anakuwa asharudi kanda zote nazikimbiza chumbani. Sasa anapiga msosi anaenda piga mbonji Kama one hour. Kumi na mbili kasoro anaamka anaoga, ile kumi na mbili kamili yupo sebuleni wakati ule Radio Deusch Welle au idhaa ya kiswahili ya ujerumani inaanza matangazo. Akina Umr kheir, Ramadhan Ally na wengineo. Ikifika saa kumi na mbili na nusu tunahamia BBC London akina Suluma Kassim, Tido mhando, Ally Saleh na wengineo. Yaani ni full habari. ITV imekuja nikiwa Songea 1995 Mzee wetu Mengi aliweka kila mkoa TV kubwa Kama dirisha hivi lkn sio chogo. Itv inafunguliwa saa kumi basi Watu pande zote Za mji mnaenda kuangalia taarifa ya habari.
mkikaa mnanyoosha miguu, ukianza kujifanya rufufu au mkandara aisee unashangaa imewekwa pause unaambiwa endelea
Sent using Jamii Forums mobile app