Sitasahau tulivyonunua TV na deki mwaka 1989, hakuna kuigusa na inalala chumbani

Hahahahahaha..... mkuu nimecheka mpaka hapa Bar wamenishangaa...! Unafaa kuwa commedian!!
 
Mmmh hii chai imepooza hakuna viungo wala sukari.
 
mkuu ni 1989 au 1999 maana 89 ungo unaagalia tv ipi maana enzi hizo si itv wala tvt na hzi zilianza kulecast jijini pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana hapo ulipokula kofi la shingo na hukumind[emoji3][emoji3] ,na mlikua wakishua 89 mna Tv[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha

Najua ulikuwa hutarajiwi kuja katika ulimwengu huu.

Watoto wa miaka ya 2000 mmekuta kila kitu shwari.

Enzi zetu mambo yalikuwa ni mbombo ngafu 😛 😛

Karma pita uku pia
 
Sisi tuliokulia Bukoba mjini tulikuwa tunaenda kuangalia pale uwanja wa mashujaa Mayunga. Yaani tulikuwa tukisema tunaenda kuangalia ITV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…